Aina za vitambi na sababu zake

Aina za vitambi na sababu zake

umenipenda kumbe hiyo ni picha yangu binafsi
1536928524388.png
 
KUNA VITAMBI VYA PESA NDIO VINGI NA MSOSI NA HANA MSONGO WA MAWAZO UKIWA NA MSHIKO KITAMBI KITAKUJA TU PILI POITI YAKO YA KUFANYA MAZOEZI ETI KUTOA KITAMBI SIO KWELI WENGINE WANAFANYA MAZOEZI NI WEMBAMBA MAZOEZI NI KUKUFANYA WEWE UWE FIT MWENYE AFYA NJEMA WEMBAMBA KAMA WEWE WATU WANAKUOGOPA LABDA UMEUKWAA AU NJAA
 
Samahani mkuu kama imakugusa hii nyuzi.

Ila ningeomba utujuze upo kwenye namba ngapi katika hizo tano? Tafadhali mkuu.

Nahisi utakua kati ya Namba 1 au Namba 6 pale.
 
Back
Top Bottom