kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
duu noma
Kwa kwel mimi nimejaliwa na MTEPETO.bia huwa situmii,kitimoto situmii ni maisha yangu tuu ya kawaida.vp kina madhara???na jee ni njia kipi nitumie ili nikitoe???Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya kijamii.![]()
Katika maisha yangu, sijawahi kusikia kuna mtu ambae ameamka saa 11 asubuhi, na kuweka nia ya kufanya juhudi kuongezeka kitambi, au kusema "nataka niongezeke kilo 100 safari hii" na kuonesha msisiitizo wa kuanza papo hapo kutekeleza hio nia.![]()
Watu huanza kuwa wabaguzi pindi mtu anapopata kitambi au kunenepa, huanza kusema "ushakua bonge, wewe hivi, wewe vile". Ushauri, nani anajali? Ridhika na jinsi ulivyo tu. Tena kama vipi kiambie hicho kitambi "Naona umeanza kuchomoza mgeni, karibu sana, itabidi tu nikupende na nitakutunza kwa juhudi zoteee!!!"![]()
Wengine hukimbilia kufanya "dayati", ila nimegundua dayati ni kwaajili tu ya wale wanene waliouchoka unene wao. Kwani hakuna kitu kinacholeta mawazo potofu kama masaa ya kwanza ya kufanya dayati, siku ya pili hua afadhali ya jana.
Wengine hukimbilia kufanya mazoezi ya kukimbia masafa marefu, tatizo la mazoezi haya pale unapotambua kua mwili wako hauna shepu ya kukuunga mkono (yani kukusapoti) kuendelea kukimbia ujue ushafika umbali mrefu ambako kurudi tena ulipotoka hata kwa kutembea ni kasheshe, utaishia kupanda bajaji muda wa kurudi!!!.![]()
Kama hujachoka kitambi chako, mikono juu![]()
![]()
NA HIZI NDIO AINA ZA VITAMBI...!!!
1) KITAMBI MCHUCHUMIO.
Hiki kimekaa kama herufi "D". Eti kinatokana sana sana na kula michemsho na bia za ofa.View attachment 866048
2) KITAMBI MTEPETO.
Eti ni kitambi cha wastani hivi, kinakua kama tairi yenye pancha, ambacho mtu akivaa nguo panapana halionekani. Hichi haina madhara, kipo katika vile vitambi "least harmful" kabisa.View attachment 866049
3) KITAMBI MVURUGO.
Hiki kitambi kimekaa kama herufi "0". Kinapatikana sana kwa kula kitimoto kushushia na bia. View attachment 866050
4) KITAMBI MTUNGUO.
Hichi wanacho sana wadada. Kina umbo kama yai vile. Kwa "dayati" hakitoki labda kwa maombi ya kufunga. View attachment 866051
5) KITAMBI MBONYEO.
Kitovu hakionekani. Eti kina sababishwa sana kwa kula "rushwa" ila akisimamishwa tu kazi, kinaisha chenyewe..View attachment 866052
Changia ya moyoni, kama huna cha kuchangia gonga "LIKE" kuwapa sapoti wenye ugeni!!!![]()
Hakina madhara mkuuKwa kwel mimi nimejaliwa na MTEPETO.bia huwa situmii,kitimoto situmii ni maisha yangu tuu ya kawaida.vp kina madhara???na jee ni njia kipi nitumie ili nikitoe???
anhaah sawa sawa mr.Hakina madhara mkuu
Fanya diet tu, mungu atasaidia kitaondoka
Ukishaanza usisahau kuanzisha nyuzi JF ili tupate cha kujifunza mkuu
tupo pamoja.vipi nilisikia pia kama chakula kikipungua nacho huwa kinaishaUkishaanza usisahau kuanzisha nyuzi JF ili tupate cha kujifunza mkuu

Njia rahisi ya kupunguza mafuta mwilini au kitambi ni mbili ambazo nazifahamu;tupo pamoja.vipi nilisikia pia kama chakula kikipungua nacho huwa kinaisha
kuna ukwel wowote?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ok bhadi tupo pamoja.nitarudi kea mrejeshoNjia rahisi ya kupunguza mafuta mwilini au kitambi ni mbili ambazo nazifahamu;
1) Mazoezi sana, kama vile ya kuogelea na kukimbia.
2) Diet, nzuri ni ya kula matunda tu siku nzima. Yani unaacha kula vyakula vya kawaida unavyokula (wali, ugali, nyama) na unakua unakula matunda tu na juice. (asubuhi unapiga sahani nzima ya matunda na juice badala ya chai, mchana unapiga sahani mzima ya matunda na juice badala ya chakula cha kawaida, usiku pia unapiga sahani ya matunda na juice badala ya dinner ya kawaida). Hii ukienda nayo kwa muda wa week moja utapungua si chini ya kilo 10.
Matunda hayaongezi mafuta mwilini na wala haya nenepeshi mwili, hata ukiwa unakula sahani mbili kwa pamoja.
Sasa kupunguza kilo ndyo kupunguza kitambi? Watu wanataka watoe kitambi na siyo kupunguza sehemu zingne za mwili....Njia rahisi ya kupunguza mafuta mwilini au kitambi ni mbili ambazo nazifahamu;
1) Mazoezi sana, kama vile ya kuogelea na kukimbia.
2) Diet, nzuri ni ya kula matunda tu siku nzima. Yani unaacha kula vyakula vya kawaida unavyokula (wali, ugali, nyama) na unakua unakula matunda tu na juice. (asubuhi unapiga sahani nzima ya matunda na juice badala ya chai, mchana unapiga sahani mzima ya matunda na juice badala ya chakula cha kawaida, usiku pia unapiga sahani ya matunda na juice badala ya dinner ya kawaida). Hii ukienda nayo kwa muda wa week moja utapungua si chini ya kilo 10.
Matunda hayaongezi mafuta mwilini na wala haya nenepeshi mwili, hata ukiwa unakula sahani mbili kwa pamoja.
Nasinzia boss
Kitambi Mbonyeo kinachotokana na kula rushwa ni hatari😅😅😅Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya kijamii.
Katika maisha yangu, sijawahi kusikia kuna mtu ambae ameamka saa 11 asubuhi, na kuweka nia ya kufanya juhudi kuongezeka kitambi, au kusema "nataka niongezeke kilo 100 safari hii" na kuonesha msisiitizo wa kuanza papo hapo kutekeleza hio nia.
Watu huanza kuwa wabaguzi pindi mtu anapopata kitambi au kunenepa, huanza kusema "ushakua bonge, wewe hivi, wewe vile". Ushauri, nani anajali? Ridhika na jinsi ulivyo tu. Tena kama vipi kiambie hicho kitambi "Naona umeanza kuchomoza mgeni, karibu sana, itabidi tu nikupende na nitakutunza kwa juhudi zoteee!!!"
Wengine hukimbilia kufanya "dayati", ila nimegundua dayati ni kwaajili tu ya wale wanene waliouchoka unene wao. Kwani hakuna kitu kinacholeta mawazo potofu kama masaa ya kwanza ya kufanya dayati, siku ya pili hua afadhali ya jana.
Wengine hukimbilia kufanya mazoezi ya kukimbia masafa marefu, tatizo la mazoezi haya pale unapotambua kua mwili wako hauna shepu ya kukuunga mkono (yani kukusapoti) kuendelea kukimbia ujue ushafika umbali mrefu ambako kurudi tena ulipotoka hata kwa kutembea ni kasheshe, utaishia kupanda bajaji muda wa kurudi!!!.
Kama hujachoka kitambi chako, mikono juu![]()
NA HIZI NDIO AINA ZA VITAMBI...!!!
1) KITAMBI MCHUCHUMIO.
Hiki kimekaa kama herufi "D". Eti kinatokana sana sana na kula michemsho na bia za ofa.View attachment 866048
2) KITAMBI MTEPETO.
Eti ni kitambi cha wastani hivi, kinakua kama tairi yenye pancha, ambacho mtu akivaa nguo panapana halionekani. Hichi haina madhara, kipo katika vile vitambi "least harmful" kabisa.View attachment 866049
3) KITAMBI MVURUGO.
Hiki kitambi kimekaa kama herufi "0". Kinapatikana sana kwa kula kitimoto kushushia na bia. View attachment 866050
4) KITAMBI MTUNGUO.
Hichi wanacho sana wadada. Kina umbo kama yai vile. Kwa "dayati" hakitoki labda kwa maombi ya kufunga. View attachment 866051
5) KITAMBI MBONYEO.
Kitovu hakionekani. Eti kina sababishwa sana kwa kula "rushwa" ila akisimamishwa tu kazi, kinaisha chenyewe..View attachment 866052
Changia ya moyoni, kama huna cha kuchangia gonga "LIKE" kuwapa sapoti wenye ugeni!!!![]()
Si ni MVURUGO kile au MBONYEO?😅Kitambi Cha Rais Wetu Ni Kwa Sababu "Anaongoza Vema Wananchi"
Kile kitambi mvurugo mkuuSi ni MVURUGO kile au MBONYEO?![]()