Aina za single mother

Well damn brother 🀣🀣🀣, hii ni phd level of uchambuzi
 
Hahahaha kazi mm natolea wapi? Kuna kipindi nimeanza kukufahamu niliomba unitfutie job ukanambia utafanya hivyo,

Mm ni jobless
Mwanzon unaanza kunijua nahisi ukajua mimi ni jamaa na heshima zangu...

Kumbe ni hovyo kabisa mkuu..
Ila kuna group nilikuunga la wasap au ukupata link kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…