Aina za pilau

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,651
2,000
Leo tuangalie aina tatu za pilau
1. pilau mjazo: hii ni pilau yenye wingi wa nyama haina haja ya kuvaa miwani kutafuta nyama pilau imejazwa nyama kuliko mchele, pilau ya hivi utaikuta ushuwani tu

2. pilau msoto: hii ni pilau yenye mchele mwingi kuliko nyama itakubidi uunde tume ili kutafuta nyama pilau ya namna hii inapatikana kwa watu wenye maisha ya kati

3. pilau nuksi: pilau hii kwanza inapatika kwa watu wenye kipato cha chini kabisa, pili pilau hii ina mchele wa kushiba na wingi wa viazi kama tuko mbeya vile kachumbari ya kumwaga na mchuzi wa kutoshaaaa wa nyanya za masalo

Back Again
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom