Preta una vituko sana nimecheka sana ....kwi kwi kwi
Niambie ikawaje shost?
aisee mbona mimi hamnionei huruma?pia kuna ndoa za kuoana kwa kumwonea huruma mtu!
Unakuta binti anakusimulia maisha aliyopitia...magumu sana, na hakika anatamani asingezaliwa!..
Ukimsikiliza kwa umakini waweza kata shauri kumuoa!
FL1,
Mi sijui niko group gani mpaka itakapofika saa mbili usiku leo...na wewe uko kundi gani au utasubiri muda uende ukitafakari kama mimi?
Mkuu DC!PJ,
Ni kweli kabisa...ndoa za huruma na maslahi ni common sana....
Ila nadhani hakuna ndoa isiyo na element ya maslahi ......
Kuna binti aliambiwa na mama yake kwamba akimwacha huyo mchumba wake ambaye hakuwa na pesa wakati huo ila alikuwa mtu wa michongo, basi angekoma...Ndoa ilifungwa na utabiri wa mama ulionekana baadaye kuwa wa kweli!!
Babu DC!!
Ya kwangu ni namba Mbili umenigusa ...Maswali hayaruhusiwi:wink2:
that is mine......
Ndoa za pesa
Mtu anakubali kuolewa na mwanaume kwa vile tu ana hela na yeye kwao ni watu wa hali ya chini so anakubali kuolewa ili maisha yawe juu, sasa kazi inakuja jamaa akiishiwa!!! inakuwa patashika nguo kuchanika, hakuna discussion hapo ni mtu antimka yuleeeeeeeee kwao
Ndoa za mila
Hizi ni zile ndoa ambazo mtu analazimika kuoa mtu kisa tu eti ni kabila lake na asipooa mtu wa kabila moja na yeye basi jamii itamtenga, moyoni anatamani kuoa ampendae lakini anataka kufurahisha ukoo kwa kuoa mtu wa kwao, baadae makasheshe hayasimuliki
usiombe hiyo my dear....ina tabu sijapata kuona.....
kila siku kwenda kurenyuu....ukichelewa kidogo mbona utajibeba....
ila inasaidia sana kwa wanaume hawa wetu vituka barabara.......he he he.....
Ndoa ya makaratasi
Wabeba boksi waje watoe maelezo ya hii
Ndoa za kuridhisha wazazi
Unakubali kuolewa kwa sababu wazazi wametaka iwe hivyo
aisee mbona mimi hamnionei huruma?
he Preta
Hii ya kwako ngumu ...mganga akikata roho inakuwaje ?
Mwalimu haha kumbe na hizi za wabeba Box inabidi ziingie kwenye aina ya ndoa ..Ila huwa zinavunjika baada ya kutimiza nia ama zinaendelea??
Ngoja niongeze pale Juu..
usiombe hiyo my dear....ina tabu sijapata kuona.....
kila siku kwenda kurenyuu....ukichelewa kidogo mbona utajibeba....
ila inasaidia sana kwa wanaume hawa wetu vituka barabara.......he he he.....