FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,416
Ndoa za kubakana....
Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.
Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.
FL1,
Mi sijui niko group gani mpaka itakapofika saa mbili usiku leo...na wewe uko kundi gani au utasubiri muda uende ukitafakari kama mimi?
Ndoa za kubakana....
Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.
Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.
Ahsaten sana FL1,
Naona hizi ni aina za ndoa kwa mtazamo wa jinsia ya upande wa pili....Itabidi na sie tuangalie uwezekano wa kuweka aina za ndoa kwa upande wetu!!
Hiyo No. 4 ni ngumu sana kwa wale tusioamini ndumba na urozi!!
Naipenda sana No. 1 ila sijui ni asilimia ngapi ya ndoa zimebahatika kuipata!!!
Babu DC!!!
Babu DC hebu weka mtizamo nyuma ya shilingi..
Lakini Babu hivi bibi wakati ananisimulia alijua hizi namba nne zipo labda ya kwake ilikuwa namba 4
Zipo, sema tu siku hizi zimekuwa advanced... Yaani mnapanga kabisa na binti kwamba leo usiku uje unikamate unipeleke kwako unibake afu unioe....AsprinHizi ndo zenu bado zipo mpaka leo??
4. Ndoa za Madawa
(msinipige mawe heheh)Hizi mambo zipo bwana vibinti vya siku hizi vinakamata watu kwa kuwatumia kalumanzira basi dawa zikishindikana kurenew kasheshe zinaanza ndani ya nyumba..mara ooh mara eeh.
teh umenikumbusha mbali babu?ndoa za kubakana....
Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu moshi hasa kipindi cha christmass misa ya usiku.
Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.
that is mine......
Zipo, sema tu siku hizi zimekuwa advanced... Yaani mnapanga kabisa na binti kwamba leo usiku uje unikamate unipeleke kwako unibake afu unioe....
Source: Ukosefu wa mahari.
FL1,
Kuna aina hii ya ndoa ambayo katika makundi hayo yako inaangukia wapi!
Mwanamke anapompenda mwanaume, au vice versa, kwaajili ya fedha na uwezo!..then umasikini ukipiga hodi mlangoni penzi linasepa kupitia dirishani!