Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

AL BADIRI NI JINI? Mbona kuna kisomo kinaitwa Al badiri husomewa wezi wanaoiba au hata kama mmezuishana mambo makubwa inasomwa hiyo albadiri na aliemuongo ndio inamshika na kumdhuru aidha kwa kufa au kuwa kichaa...hebu nifafanulie.
Ndo linaitwa hilo jini kuja Kutenda Haki hiyo wanasma
 
Kuna watu wanasema Mungu anayo majina 99 mojawapo ni Latif. Hapa imekaaje?
Hilo ni jina kama majina mengine tu na kiufupi ni kuwa hayo aliyoyataja mkuu mshana jr hayo ni majinni mashetani ambayo yanavunja sheria za muumba.Ni sawa na kumkuta mtu anaitwa Rahim halafu anafanya yale yasiyompendeza Mungu au ukamkuta mtu anaitwa Paul then matendo yake hayafanani hata kidogo na huyo Paul mwenyewe uasi wa kiumbe hauna mahusiano na jina la mtu aliyetangulia kuwako kabla yake.
 
Kuna Sheikh alikua anatafuta mtu mwenye kupandisha sijui maruhani na alimpata humu humu jamii forum

Kazi ya maruhani ni nini ?

Asanta
 
Kuna Sheikh alikua anatafuta mtu mwenye kupandisha sijui maruhani na alimpata humu humu jamii forum

Kazi ya maruhani ni nini ?

Asanta
Safari _ni _safari kuna mahali kalifanunua vizuri sana hili kuwa mvumilivu nimeshamwalika aje huku
 
Mshana; nina jua kuwa majini ni roho lakini sijui kama majini hula chakula kama hula nichakula gani ??.

Na vipi kuhusu majini kuletwa huku afrika kwamba hapo zamani sana palikua hakuna majini afrika jee nikweli??.

Majini huishi popote jee hata ulaya kunayo nskama yapo nikwanini haya wazuru wao??

Jee nikweli kama ambavyo jini namba15 alivyo tuambia juzi kwamba waweza kumuita jini kila siku ukiingia chooni na hatimae kujakweli ??
 
Hahhahahaaaa ya jini kuitwa chooni ilikuwa kali ya mwaka jini huishi popote ulimwenguni kuna uchambuzi mzuri sana kwenye ile post nyingine kauweka Safari _ni_safari ile post ya majini hupenda heshima
Kaelezea kwa undani maisha yao vyakula vyao na uzazi wao ngoja takutag uende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom