Aina za hasira za wanawake

Ngoja na mimi nioe nione hasira ya mke.sema Mungu anisaidie,ke akinikasirikia naenda kulala gest hata wiki,maana tabia yangu naijua mwenyewe.naweza kumshika shingo
una wazimu ujue, hiyo gap unamwachia nani mkeo kwa mfano?
ila sio kosa lako naona kwa vile hujaoa ndo maana unatamka hivyo

teh
 
una wazimu ujue, hiyo gap unamwachia nani mkeo kwa mfano?
ila sio kosa lako naona kwa vile hujaoa ndo maana unatamka hivyo

teh
Sawa tu! Kasirika ikiwa umeuziwa na mimi ila sio umetoka huko ulikotoka unaaza vioja,tutajuana hakianani.
 
Hongera yako
 
Hasira zangu niza kulia
Alafu lazima ni tapike nisipo tapika haziishi
Sijui kuna uhusiano gan hapa
 
Kuna moja cjaiona kuna manzi huku kitaa akizinguana na mumewe anamsubiri mumewe aende kazini huku nyuma anaita kirikuu anasafisha chumba chote anaenda kwao ila mume akirudi anamfata huko na wanarudi na vitu vyao maisha yanasonga
 
Me mchumba wangu akikasirika huwa anachoma nguo na vitu nilivyo mnunulia so sometime huwa najiuliza huyu nikijaga kumuoa si nitakuta amesha ichoma nyumba au suluali zangu zote
Duuu!!!!
afu baadae anaomba msamaha
 
Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
aiseeee
 
Kuna moja cjaiona kuna manzi huku kitaa akizinguana na mumewe anamsubiri mumewe aende kazini huku nyuma anaita kirikuu anasafisha chumba chote anaenda kwao ila mume akirudi anamfata huko na wanarudi na vitu vyao maisha yanasonga
hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…