Aina za hasira za wanawake

Aina za hasira za wanawake

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
1) Kuna mwanamke ambaye akikasirika huishia kulia tu

2) Lakini mwingine akichukia huongea sana muda wote mpaka ikukere

3) Mwanamke mwingine akikasirika ananuna, haongei, mtapishana kimya kimya mawasiliano kibubububu shavu limejaa kama kobra!

4) Mwingine akishikwa na hasira period ya ghafla ghafla inafuata

5) Kuna wanawake ambao ole achukie. Atachokishika usipokimbia anakutandika nacho halafu majuto baadaye

6) Mwanamke mwingne akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunjavunja vyombo au saa nyingne kugombezagombeza wafanyakazi na watoto. Dizain hii huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia na waume zao!

7) Mwanamke mwingne ole akasirike mtajuana kitandani panapo majaaliwa. Nakwambia utaungama yote

8) Kuna ambao wakitibuliwa hukimbia kufunga mabegi na kuondoka

9) Wapo ambao wakikasirika wanagoma kupika

10) Wengne wakikasirika wanaamua kwenda kulala kimya

11) Wanawake wengne wakikasirika tumbo linakata mpaka kupelekea kuharisha

12) Wapo ambao wakishikwa na hasira huingia kwenye maombi na kuugua kusikowezwa kutamkwa. Uchungu ukiisha wananawa uso na kwenda sokoni kuendelea na majukumu

13) Yuko ambaye akishikwa na hasira hucheka saana, hutajua kama amekasirika. Dizaini hii ni hatari sana anaweza kukudhuru kirahisi.

Je wewe unajijua uko kundi gani?

Wote tunatambua kama hasira hasara basi nyie waume zetu ukiona mke wako ili jambo limemkera na limemkasirisha tafuta mbinu yoyote yakuweza kulitatua tatizo na kumfanya mkeo aachane na zile hasira arudi ktk hali ya kawaida.

Sio mume umemkasirisha mkeo basi unajiona wewe ndio kidume hata kumbembeleza imekushinda sivyo ivyo hata mume unatakiwa kuwa MbunifuU sio kila siku ubembelezwe wewe tu hata mkeo ana nafasi yake katika ndoa.

Mwanamke ni dhaifu sana unaweza kufanya kitu kidogo tu na hasira zikaisha.
Tupendane, tuhurumiane, tusameheane, ili tufike mbali katika ndoa zetu.
 
Kweli kabisa, baadhi wakikasirika wanaishia kulia, hasira zinawajaa, anatamani kumkunja aliyemkera lakini ghafla nguvu zinamuisha anaendeleza msiba.
 
Mimi mke wangu akichukia kifua kinamjaa,maziwa yake mazuri yanavimba kama sindano anahema kwa nguvu huku akishindwa kuongea alafu sura yake inakuwa nzuri zaidi mpaka napata hamu.......
Sasa hapo anaingia vyumbani na kutoka mara kwa mara huku anabamiza milango
Ikifikia hatua hiyo lazima nimbembeleze......
 
1)kuna mwanamke ambaye akikasirika uishia kulia tuu, ,

2)lakn mwingne akichukia uongea sana mda wote mpk ikukere

3)mwanamke mwingne akikasirika ananuna, haongei,mtapishana kimya kimya mawasiliano kibubu'bubu shavu limejaa kama kobra!

4)Mwingne akishikwa na hasira period ya ghafla ghafla inafuta

5)kuna wanawake ambao ole achukie, atachokishika usipokimbia anakutandika nacho majuto baadaye,

6)mwanamke mwingne akikasirika ,hasira zake zinaishia kwenye kuvunjavunja vyombo au saa nyingne kugombezagombeza wafanyakazi na watoto ,Dizain hii huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia na waume zao !

7)mwanamke mwingne ole akasirike mtajuana Kitandani panapo majaaliwa ,nakwambia utaungama yote

8)kuna ambao wakitibuliwa hukimbia kufunga mabegi na kuondoka

9)wapo ambao wakikasirika wanagoma kupika

10)wengne wakikasirika wanaamua kwenda kulala kimya

11)wanawake wengne wakikasirika tumbo linakata mpk kupelekea kuharisha

12)wapo ambao wakishikwa na hasira uingia kwenye maombi na kuugua kusikowezwa kutamkwa ,uchungu ukiisha wananawa uso na kwenda sokon kuendelea na majukumu

13)yuko ambae akishikwa na hasira, hucheka saana,hutajua kama amekasirika ,Dizain hii ni hatari sana anaweza kukudhuru kirahisi.

JEE WW UNAJIJUA UKO KUNDI GANI?

Wote tunatambua kama hasira hasara basi nyie waume zetu ukiona mke wako ili jambo limemkera na limemkasirisha tafuta mbinu yoyote yakuweza kulitatua tatizo na kumfanya mkeo aachane na zile hasira arudi ktk hali ya kawaida sio mume umemkasirisha mkeo basi unajiona ww ndio kidume hata kum'bembeleza imekushinda sivyo ivyo hata mume unatakiwa kua MBUNIFU sio kila siku ubembelezwe ww tu hata mkeo ana nafas yake ktk ndoa.

Mwanamke ni dhaifu sana unaweza kufanya kitu kidogo tu na hasira zikaisha .
Tupendane, tuhurumiane, tusameheane, ili tufike mbali ktk ndoa zetu.
Namba (2) n.a. (3) zinamuhusu wife, anaongezea kabisa N.A. kulala na jeans trouser, na kisu pembeni, hapo bwana hupewi haki ya ndoa hata ufanyaje
 
Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
Hawa nimewaona sana, hufikiri "akigongwa" ndio anakukomesha.
 
Hahaha. Ila hasira bana, mie hiyo namba moja ilitaka kunitawala halafu nikaiona sio kabisa sababu kila nikipatwa na hasira lazima macho yawe mekundu tu.

Niliyonayo kwa sasa hapo haipo kwa kweli. Teh
 
1) Kuna mwanamke ambaye akikasirika huishia kulia tu

2) Lakini mwingine akichukia huongea sana muda wote mpaka ikukere

3) Mwanamke mwingine akikasirika ananuna, haongei, mtapishana kimya kimya mawasiliano kibubububu shavu limejaa kama kobra!

4) Mwingine akishikwa na hasira period ya ghafla ghafla inafuata

5) Kuna wanawake ambao ole achukie. Atachokishika usipokimbia anakutandika nacho halafu majuto baadaye

6) Mwanamke mwingne akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunjavunja vyombo au saa nyingne kugombezagombeza wafanyakazi na watoto. Dizain hii huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia na waume zao!

7) Mwanamke mwingne ole akasirike mtajuana kitandani panapo majaaliwa. Nakwambia utaungama yote

8) Kuna ambao wakitibuliwa hukimbia kufunga mabegi na kuondoka

9) Wapo ambao wakikasirika wanagoma kupika

10) Wengne wakikasirika wanaamua kwenda kulala kimya

11) Wanawake wengne wakikasirika tumbo linakata mpaka kupelekea kuharisha

12) Wapo ambao wakishikwa na hasira huingia kwenye maombi na kuugua kusikowezwa kutamkwa. Uchungu ukiisha wananawa uso na kwenda sokoni kuendelea na majukumu

13) Yuko ambaye akishikwa na hasira hucheka saana, hutajua kama amekasirika. Dizaini hii ni hatari sana anaweza kukudhuru kirahisi.

Je wewe unajijua uko kundi gani?

Wote tunatambua kama hasira hasara basi nyie waume zetu ukiona mke wako ili jambo limemkera na limemkasirisha tafuta mbinu yoyote yakuweza kulitatua tatizo na kumfanya mkeo aachane na zile hasira arudi ktk hali ya kawaida.

Sio mume umemkasirisha mkeo basi unajiona wewe ndio kidume hata kumbembeleza imekushinda sivyo ivyo hata mume unatakiwa kuwa MbunifuU sio kila siku ubembelezwe wewe tu hata mkeo ana nafasi yake katika ndoa.

Mwanamke ni dhaifu sana unaweza kufanya kitu kidogo tu na hasira zikaisha.
Tupendane, tuhurumiane, tusameheane, ili tufike mbali katika ndoa zetu.
Samahani huwa nafikiri wewe ni ME
 
Back
Top Bottom