Aina ya Polisi anayehitajika na Watanzania

Aina ya Polisi anayehitajika na Watanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Hakika huyu kamanda Mponjoli ndiye aina ya mapolis wanao hitajika hapa nchini.

Hana cha kuogopa rangi za chama wala diwani wa chama anacho hitaji ni haki itendeke.

Kwa msimamo wa huyu kamanda sijui kama bado yupo au asha staafu.

Msikilizeni na mtupatie mrejesho yuko wapi kwa sasa.

 
Maisha Yake yatakuwa Magumu Sana baada ya kustaafu!
Why maisha yake yawe magumu? Kudos kwa huyu RPC ambaye ameonyesha kuwa anafuata kiapo chake, CCM ni political party kama vyama Vingine na sio wamiliki wa nchi hii, middle class wa Sasa ni waoga na wanafiki mno, heshima aliyoiacha CJ Nyalali ni kutokana na msimamo wake wa kusimamia sheria za nchi na hii ililetea politicians na wananchi kumheshimu na elewa alifanya kazi kipindi cha mfumo wa Chama kimoja cha kisiasa na TISS iliyokuwepo kipindi kile ilikua respect bcs they EARN IT.
 
Why maisha yake yawe magumu?kudos kwa huyu RPC ambaye ameonyesha kuwa anafuata kiapo chake,ccm ni political party kama vyama Vingine na sio wamiliki wa nchi hii, middle class wa Sasa ni waoga na wanafiki mno, heshima aliyoiacha CJ Nyalali ni kutokana na msimamo wake wa kusimamia sheria za nchi na hii ililetea politicians na wananchi kumheshimu na elewa alifanya kazi kipindi cha mfumo wa Chama kimoja cha kisiasa na TISS iliyokuwepo kipindi kile ilikua respect bcs they EARN IT.
Asante sana mkuu kwa comment mzuri sana
 
Back
Top Bottom