Aina ya Polisi anayehitajika na Watanzania

If the best is what we need.
Mama needs to be supported by nothing less than the best!. We have had enough of the mediocres!.
P
Kama umeligundua hilo unadhani mama kama kweli ana nia mzuri ya kututoa hapa tulipo afanye nini au nani amshauri?
 
Hakika huyu kamanda Mponjoli ndiye aina ya mapolis wanao hitajika hapa nchini.

Hana cha kuogopa rangi za chama wala diwani wa chama anacho hitaji ni haki itendeke.

Kwa msimamo wa huyu kamanda sijui kama bado yupo au asha staafu.

Msikilizeni na mtupatie mrejesho yuko wapi kwa sasa.View attachment 2126919
Huyu anajitambua, anajua wajibu wake. ni nadra kukutana na polisi mwenye mtazamo wa namna hii, ingependeza na hao wanaolalamikiwa tukawasikia walidhalilishwaje? Waliporwa nguowakabaki uchi?
 
Mkuu kwa wana ccm wao wanajiona kama ndiyo wenue leseni ya kumiliki nchi yetu.

Kwao wao wanachohitaji usipokikubali basu wewe ni adui yao nambari moja.
 
Ukiridhika na ulicho nacho hakuna mtu atakubabaisha duniani , tatizo ukiwa na tamaa
Kuna na huyu mama Kaganda yaani list ingekuwa hivi basi tungekuwa na jeshi bora kabisa .
 
Mkuu kwa wana ccm wao wanajiona kama ndiyo wenue leseni ya kumiliki nchi yetu.

Kwao wao wanachohitaji usipokikubali basu wewe ni adui yao nambari moja.
Inawezekana kuna mtu mmoja tu mwenye hiyo akili mbovu, akiondolewa huyo kwenye nafasi hiyo labda tunaweza kuishi kama wamoja
 
Hakika huyu kamanda Mponjoli ndiye aina ya mapolis wanao hitajika hapa nchini.

Hana cha kuogopa rangi za chama wala diwani wa chama anacho hitaji ni haki itendeke.

Kwa msimamo wa huyu kamanda sijui kama bado yupo au asha staafu.

Msikilizeni na mtupatie mrejesho yuko wapi kwa sasa.

View attachment 2126919
Hii ya zamani sana wakati wa Magufuli akiwa Rais, alionesha ujemedari wa kusimamia haki wa Wanyaki. Kwenye haki zao wanyaki kama misimamo ya Yesu kristo
 
Inawezekana kuna mtu mmoja tu mwenye hiyo akili mbovu, akiondolewa huyo kwenye nafasi hiyo labda tunaweza kuishi kama wamoja
Kiongozi atakaye weza kufanya hilo atakuwa ni mkombozi wa watanzania.
 
Hii ya zamani sana wakati wa Magufuli akiwa Rais, alionesha ujemedari wa kusimamia haki wa Wanyaki. Kwenye haki zao wanyaki kama misimamo ya Yesu kristo
Haijalishi ni ya lini au chini ya nani hapa mkuu.

Jambo kuu ni huu msimamo thabiti wa huyu kamanda.
 
Askari siku zote hufuata amri ya mkubwa wake na wakubwa zao hao Ni CCM
Ukilijua hili basi utaelewa kua huyo nae hamna kitu, tafuta mkoa aliowahi kuwa RPC alafu fuatilia yaliyofanyika huko
Waulize chadema geita wanamjua huyo
 
Back
Top Bottom