mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda).
Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotajaNahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda)
Bora uchukue sanya boxer si pikipiki ya kuipigisha jaramba ndugu ile ni luxury ,unless upo sehemu zenye lami tupu mimi ni mzoefu wa biashara hiyo, kw uwezo w kufanya kaz na kubeba mzigo wa maana sanya ipo vizuri au kama alivo sema mdau hapo juu upate sanlg toleo la mwanzo lkn boxer sikushauri aisee ila kama ni town route kwa boxer sawa ila km ni kijiji mkuu achana na boxer.
Ee bwana umeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua.nunua boxer au hero hutojutia maamuzi yako
Umeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua ila nahitaji uzoefu kwa hii pikipiki.Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotaja
Chukua boxer.
Pia kwa nyongeza Boxer haitumii mafuta sana kama zilivyo pikipiki zingine mfano snlg uliyoitaja, Hapo nimechukulia zote ni cc150.
Kwa kigezo cha bei Boxer si chini ya Milioni 2, wakati snlg waweza kupata kwa 1.6m.
Kama fedha haitoshi kwa boxer, ni vyema ukavuta subira ili uongezee na kuchukua Boxer 150cc
mi ninayo pikipiki aina ya hero naitumia huu mwez wa wangu wa 3 na iko poa sana, lita moko kwa kilometa 70Ee bwana umeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua.
Duuh! Rusha picha tuione mkuu.mi ninayo pikipiki aina ya hero naitumia huu mwez wa wangu wa 3 na iko poa sana, lita moko kwa kilometa 70
Nimeiona ulichukua sh ngapi?mi ninayo pikipiki aina ya hero naitumia huu mwez wa wangu wa 3 na iko poa sana, lita moko kwa kilometa 70