Aina ya Pikipiki nzuri

nunua shine ray naiuza laki nane tu ile 150cc na ni piki piki binafsi husumbuliwi barabarani kama hizo bodaboda inahitaji matengenezo kidogo tu haijatumika muda mrefu ni piki piki ngumu na heshima barabarani mkuu nicheck au wasap 0762612213
Shineray zina usumbufu sana... Binafsi nimepitia uzoefu, na siajabu hata wewe unataka kusukumia Mwenzako huo msala. Alafu linakula mafuta hiloo....
 
sasa hivi kuna mahindra

simple haili mafuta kwa ajili ya kutembelea tuuu
 
Pkpk ambazo ni user friendly kwa sehemu kubwa ya nchi yetu ni china brand maana popote itakapo korofisha na chochote itakacho korofisha utapata kwa ukaribu na mafundi ni wengi ,sasa hizo zingine aisee ikisumbua hata taa tu aisee kupata kwake kama sio jijin basi mkoan ,kwenye wilaya humo ni shiida utakuta una ipaki mwez mzima ndani kisa magneto tu
Kweli kabisa. Nina Hero dawn ina muda mrefu imekufa magneto sijapata.
Hapa naumia kubadili injini kisa magneto
 
Nunua Boxer BM150.... hutajuta.
Niliendesha last month Dar Tanga njiani hatari tupu pikipiki inatembea mpaka miguu inatetemeka.
 
Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotaja

Chukua boxer.

Pia kwa nyongeza Boxer haitumii mafuta sana kama zilivyo pikipiki zingine mfano snlg uliyoitaja, Hapo nimechukulia zote ni cc150.

Kwa kigezo cha bei Boxer si chini ya Milioni 2, wakati snlg waweza kupata kwa 1.6m.

Kama fedha haitoshi kwa boxer, ni vyema ukavuta subira ili uongezee na kuchukua Boxer 150cc
Subutu nani kasema sunlg inauzwa mil 1.6? Sunlg ni pikipiki imara kuliko boxer, sun pia ni pikipiki inayo imili hali zote boxer ni pikipiki ya starehe na spera zake ni ghali ukilinganisha na boxer, sunlg inatengenezeka pia kuliko boxer, boxer ikichoka ndo imetoka hiyo, chukua sunlg mkuu zipo hadi 150 bei mil 2.2 km haitoshi nunua Aojue ni pikipiki toleo jipya na imara sana utojuta.
 
Mimi nilikuwa na TVS HLX 125 Aisee hii pikipiki ni nzuri kwa matumizi binafsi.. Itakulimit kutembea speed kubwa, haili mafuta. Ni durable kama boxer tu. Ukitimiza masharti ya service hutajuta. Boxer itakuchinja.
 
habar wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafs kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizur kat ya boxer 150 na tvs150
kwanzia engine
fuels
speed
rough road
na appearance
 
Back
Top Bottom