HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Vipi kuhusu vipuri? Vinapatikana?inategemea na aina ya hiyo pikipiki na matumizi yako, kuna hero down cc 100 na cc 125, cc 100 ni 1.5m na cc 125 ni 1.8milion...
Vipi kuhusu vipuri? Vinapatikana?inategemea na aina ya hiyo pikipiki na matumizi yako, kuna hero down cc 100 na cc 125, cc 100 ni 1.5m na cc 125 ni 1.8milion...
Boxer ni nzuri kwa barabara za lami, pia boxer ina mwendo mzuri na speed ya ukweli.Ee bwana umeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua.
Aiseee umenifanya nicheke sana yaani we mkali.Boxer kiboko yake mvua
Maji yakiingia tu kwenye magneto wewe ndo unapaswa kulibeba sasa na lilivyo zito kama tairi la damper zile za migodini *****
Pkpk ambazo ni user friendly kwa sehemu kubwa ya nchi yetu ni china brand maana popote itakapo korofisha na chochote itakacho korofisha utapata kwa ukaribu na mafundi ni wengi ,sasa hizo zingine aisee ikisumbua hata taa tu aisee kupata kwake kama sio jijin basi mkoan ,kwenye wilaya humo ni shiida utakuta una ipaki mwez mzima ndani kisa magneto tuUmeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua ila nahitaji uzoefu kwa hii pikipiki.
Boxer barabara za vumbi utaichukia aiseeBoxer ni nzuri kwa barabara za lami, pia boxer ina mwendo mzuri na speed ya ukweli.
Acha kupotosha amna pikipiki nzuri kama Boxer. Pikipiki zote sasa hivj zinaiga muundo wa boxer.Boxer barabara za vumbi utaichukia aisee
Tatizo hujanielewa ndii maana sijasema boxer si nzur na wala sina lengo la kupotosha aisee kwa maana mimi si mpotoshaji boxer zinafanya vizuri kwenye barabara za mjini (barabara nzuri ,lami nk.) Lakin si kwa maeneo ya baraba za vumbi na mbovi huwa hazivumilii sana kama sanya na sanlg boxer ni luxury kuhusu ubora wala sija pinga hilo umenielewa tofauti.Acha kupotosha amna pikipiki nzuri kama Boxer. Pikipiki zote sasa hivj zinaiga muundo wa boxer.
Boxer ina nguvu na speed ndio maana zinatumiwa kwa uhalifu.
Boxer haina mitetemo wala kwenye rough road hairukiruki kwasababu ina shock ups imara na nzuri.
SANLG na Sanya ukitumia miezi 6 zinanza kupukutika zenyewe. Ni pikipiki za ovyo sana na soko lake kwa sasa limeshuka. Sidhani kama mtu mwenye akili timamu atanunua hizo pikipiki na kuacha pikipiki kama BOXER, TVS,YAMAHA na HONDA Ace 125.Tatizo hujanielewa ndii maana sijasema boxer si nzur na wala sina lengo la kupotosha aisee kwa maana mimi si mpotoshaji boxer zinafanya vizuri kwenye barabara za mjini (barabara nzuri ,lami nk.) Lakin si kwa maeneo ya baraba za vumbi na mbovi huwa hazivumilii sana kama sanya na sanlg boxer ni luxury kuhusu ubora wala sija pinga hilo umenielewa tofauti.
Tatizo hujanielewa ndii maana sijasema boxer si nzur na wala sina lengo la kupotosha aisee kwa maana mimi si mpotoshaji boxer zinafanya vizuri kwenye barabara za mjini (barabara nzuri ,lami nk.) Lakin si kwa maeneo ya baraba za vumbi na mbovi huwa hazivumilii sana kama sanya na sanlg boxer ni luxury kuhusu ubora wala sija pinga hilo umenielewa tofauti.
Hapana ndugu nina uzoefu wa kutosha na hivyo vyombo ndugu nina ongea ninacho ki practice hayo huwa ni maneno ya vijiwen tu kuhusu hizo pikipiki za mchina ni kweli hazina ubora kama hizo ulizo ziainisha hapo lakin pia hazina ubovu au uhovyo kama ulio uainisha hapo mkuu, nina uzoefu wa kutosha sana na hivi vyombo ingawa hata wewe pia waweza kuwa na uzoefu lakin yapasa ufanyie uhakika.SANLG na Sanya ukitumia miezi 6 zinanza kupukutika zenyewe. Ni pikipiki za ovyo sana na soko lake kwa sasa limeshuka. Sidhani kama mtu mwenye akili timamu atanunua hizo pikipiki na kuacha pikipiki kama BOXER, TVS,YAMAHA na HONDA Ace 125.
Na ndio maana nimependekeza majina hayo mawili sanya au sanlg na sio toyo wala kiboko,wala fecon na zinginezo.Hapana ndugu nina uzoefu wa kutosha na hivyo vyombo ndugu nina ongea ninacho ki practice hayo huwa ni maneno ya vijiwen tu kuhusu hizo pikipiki za mchina ni kweli hazina ubora kama hizo ulizo ziainisha hapo lakin pia hazina ubovu au uhovyo kama ulio uainisha hapo mkuu, nina uzoefu wa kutosha sana na hivi vyombo ingawa hata wewe pia waweza kuwa na uzoefu lakin yapasa ufanyie uhakika.
Magneto ndo kifaa gani mkuu ili nikiwa naiosha niwe napachunga sana maji yasiingiePkpk ambazo ni user friendly kwa sehemu kubwa ya nchi yetu ni china brand maana popote itakapo korofisha na chochote itakacho korofisha utapata kwa ukaribu na mafundi ni wengi ,sasa hizo zingine aisee ikisumbua hata taa tu aisee kupata kwake kama sio jijin basi mkoan ,kwenye wilaya humo ni shiida utakuta una ipaki mwez mzima ndani kisa magneto tu
Hakuna pkpk vimeo kama boxer aisee sasa unless kama unashinda barabara za lami vinginevyo utaibeba nina uzoefu na pkpk kwa matumiz kwa mazingira yetu hasa tanzania boxer bado haija kidhi viwango bora mchina.Nipo sehemu zenye barabara mbovu balaa, milima na mabonde na natumia boxer zaidi ya mwaka sasa tangu niinunue sijawah kutengeneza chochote kile zaidi ya service za kawaida tu.........bado sijashawishika kununua pikipiki nyingine zaidi ya boxer..........nilishatumia mchina kabla na haikumaliza mwaka nikaipga bei mana nilishachoka kununua spare kila Sikh!
Kinacho fua umeme kwenye pkpkMagneto ndo kifaa gani mkuu ili nikiwa naiosha niwe napachunga sana maji yasiingie