Aina ya Pikipiki nzuri

Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda)
t-better ndo pikpik bora kati ya zote za kichina na india zinazokuja huku
 
Chukua sanya mzee
Kitu cha ukweli alafu bomba mbili kama mark x *****
Speed ya kishada alafu zutu kiduchu au cku mambo magumu unalinywesha hata mtori au mchemsho wa kibororoni
 
1475190403721.jpg
 
Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi nibalancni nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda)
Nakushauri ununue SANYA 125 Y ni pikipiki nzuri sana kwa kazi na ubora hata ukilinganisha na SANLG bado sanya ni bora zaid SANLG wanauzia jina na uenyeji wao kwenye soko lakin SANYA ina balance nzuri zaid ,lakin kwa kutembelea kama ni mjini mjini ssio mashamban na barabara za vumbi boxer ndio kiboko inatereza tu barabaran.
Ninauzoefu sana na pikipiki na ndio silaha yangu kwenye mada hii.
 
Acha kupotosha amna pikipiki nzuri kama Boxer. Pikipiki ikisasa hivj zinaiga muundo wa boxer.
Boxer ina nguvu na speed ndio maana zinatumiwa kwa uhalifu.
Boxer haina mitetemo wala kwenye rough road hairukiruki kwasababu ina shock ups imara na nzuri.
Nani alikudanganya kuwa hakuna pikipiki nzuri kama boxer? Au kwa vile ndio ulio nayo? Bixer ni msala kwa mazingira mengi ya nchi yetu kwanza linachagua engine oil ukitumia sana oil zetu zinazo patikana kila sehemu halikawii kufuka moshi wakati michina hii inapiga tu bila shida boxer ni delicate sana aisee parts zake ukimistake kidogo zishalubadilikia inga ni pkpk nzuri sana kwa town route.
 
Boxer ni kifaa cha kazi aisee, unadunda nayo mwaka mzima bila kubadili chochote zaidi ya oil. Pikipiki za kichina ni feki ndio maana spea zake zinauzwa kama karanga.
 
Boxer ni kifaa cha kazi aisee, unadunda nayo mwaka mzima bila kubadili chochote zaidi ya oil. Pikipiki za kichina ni feki ndio maana spea zake zinauzwa kama karanga.
Ivi kati ya TVS 125 CC na boxer-150 BM
Ipi ni nzuri sana kwa Kibiashara nijuze apo mkuu
 
Nimetumia pkpk flani zinaitwa Lantic huu mwaka wa 3 sijui matatizo ni mwendo wa kuamsha tu hazina magonjwa ya kipuuzi kabisa na hata nikiuza hii sioni sababu ya kubadilisha kampuni zina speed kiukweli mzuri na imara
 
Nilinunua San Lg 2009 mpaka Leo ipo poa sana.Ni SL 125 na pia haisumbui na vipuri vyake Bei chee na vinadumu
 
Back
Top Bottom