Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021).

Swali la kujiuliza si tena:

“Ni mali gani ninamiliki leo?”

Bali:

“Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo itanilipa kesho?”

Digital assets ni mali zinazopatikana mtandaoni na zina uwezo wa kukuingizia kipato kwa muda mrefu bila uwepo wako wa moja kwa moja kila siku.

Mfano wa digital assets:

1. YouTube channels
Channel moja yenye audience inaweza kukuingizia kipato kupitia matangazo, sponsorship, na affiliate marketing. Video moja inaweza kuendelea kukuingizia pesa kwa miaka mingi.

2. Namba za WhatsApp (business)

Ukijenga database ya wateja kupitia WhatsApp, unakuwa na direct access ya kuuza bidhaa au huduma bila gharama kubwa ya matangazo.

3. Social media accounts

Page za Instagram, TikTok au Facebook zenye followers wengi ni mali. Unaweza kupata pesa kupitia brand deals, matangazo au kuuza bidhaa zako.

4. Hisa (stocks)

Unapowekeza kwenye kampuni, unapata gawio (dividends) na pia thamani ya hisa inaweza kuongezeka kadri muda unavyokwenda.

5. Cryptocurrency

Ingawa ina risk, baadhi ya crypto assets zimeonyesha ukuaji mkubwa na zinaweza kuwa sehemu ya uwekezaji wa muda mrefu. Mfano BTC

Miaka michache ijayo, unaweza kujikuta una mfumo wa kipato unaofanya kazi hata wakati haupo.

Hujui uanzie wapi? Whatsapp +255693880325

#DigitalAssets #OnlineIncome #YouTubeBusiness #SocialMediaMarketing #Crypto #Investing #FinancialFreedom
 
Kuna kipindi zilipitishwa sheria za ovyo kwa wamiliki wa YouTube channels, Online tv na platforms zingine kwa ili kukidhi matakwa ya kisiasa. Faida za upande wa pili hazikutazamwa, kwani mamlaka zingeweka utaratibu mzuri wa udhibiti & usimamizi huku zikikusanya mapato.
Internet ni biashara ikitumika kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom