Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

wekeza Nguvu kuyajua matendo ya Imani.
Warumi 6:22
[22]Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
But now being made free from sin, and become servants to God, ye have your fruit unto holiness, and the end everlasting life.

Simaanishi kushi kwenye Sheria ya Musa kama zamani ila naongelea Sheria ya Musa kutekelezwa ndañi yetu automatically Kwa ROHO Mtakatifu na tukawa watumwa WA MUNGU..sio Sheria ya Musa iliotekelezwa Kwa nguvu ya MWILI na watu wakawa watumwa WA dhambi Kwa kuwa Asili ya torati hakuwa mwilini ila rohoni.

Sasa ili uishi kwenye stage ya Imani lazima uwe huru mbali na dhambi Kwa kufanyika mtumwa WA MUNGU na sio mtumwa wa dhambi.
 
acha kila siku, nafikiri unahitaji toba kila baada ya sekunde kazaa..
Pia kabla uvunje sheria, hata kuwaza vibaya tu hiyo ni kosa...
Sasa katika Imani alioileta YESU KRISTO ni kutoka kuwa mtumwa wa dhambi na kuwa mtumwa wa MUNGU chini ya uongozi WA ROHO Mtakatifu na kuishi maisha ya Imani yenye kuzaa matunda ya ROHO Mtakatifu Tu wema,,fadhili,,upendo,,kiasi,,uvumilivu ambayo unakuwa hauishi chini ya Sheria kimwili.
 
Warumi 6:22
[22]Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
But now being made free from sin, and become servants to God, ye have your fruit unto holiness, and the end everlasting life.

Simaanishi kushi kwenye Sheria ya Musa kama zamani ila naongelea Sheria ya Musa kutekelezwa ndañi yetu automatically Kwa ROHO Mtakatifu na tukawa watumwa WA MUNGU..sio Sheria ya Musa iliotekelezwa Kwa nguvu ya MWILI na watu wakawa watumwa WA dhambi Kwa kuwa Asili ya torati hakuwa mwilini ila rohoni.

Sasa ili uishi kwenye stage ya Imani lazima uwe huru mbali na dhambi Kwa kufanyika mtumwa WA MUNGU na sio mtumwa wa dhambi.
Sawa hii ni kazi ya Roho wa Mungu kututoa kwenye utumwa wa dhambi.

Ni kweli mm sijakataa.

Lakini point yangu ni, si kila anayesema uwongo basi kamkosea Mungu, kuna uwongo wenye faida hata mbele za Mungu
 
Sasa katika Imani alioileta YESU KRISTO ni kutoka kuwa mtumwa wa dhambi na kuwa mtumwa wa MUNGU chini ya uongozi WA ROHO Mtakatifu na kuishi maisha ya Imani yenye kuzaa matunda ya ROHO Mtakatifu Tu wema,,fadhili,,upendo,,kiasi,,uvumilivu ambayo unakuwa hauishi chini ya Sheria kimwili.
Nimekuuliza swali, unayajua Matendo ya Imani ????

Naona elimu yako inaishia kujua Matendo ya sheria, lakini Matendo ya imani huyajui.
 
Nimekuuliza swali, unayajua Matendo ya Imani ???
Yakobo 2:14
[14]Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumwokoa?
What doth it profit, my brethren, though a man say he hath faith, and have not works? can faith save him?

Ninavyojua Imani huja Kwa kulisikia neno la MUNGU.Kwa hio matendo ya Imani ni kuitekeleza/kutenda neno la MUNGU e.g upendo.
 
😂😂😂 shule yako ndogo bado,
unachomekea maneno yako kwanini??, wakati mbele hapo kwenye hicho kitabu cha Yakobo wametoa mifano ya Matendo ya imani. Kasome vizuri.

Upendo sio Matendo ya imani.
 
😂😂 shule yako ndogo bado
Nimecheka na Mimi pia...Mimi nimeshakisoma Sana kitabu cha Yakobo/James ila Wewe kwenye mjadala kama huu unaweza kuwa na faida Sana kama utaacha prejudice..Lengo sio kujua andiko liko wapi ila ni kujua kilicho ndañi ya andiko...
 
mwisho wa siku hatuwezi kufanana uelewa,
We are not the same

Different anointing,
different grace
different spiritual lank
 
Katika kueleza makundi haya mawili ya waamini wa imani ijulikanayo kama Wakristo (maana yake wafuasi wa Yesu) kumekua bado na mzozo mkubwa hadi leo hii kuhusu mambo Muhimu sana kuhusu imani au dini hii.

1. Sheria (Torati)
2. Neema (Kuokolewa kwa imani)

Binafsi nimefatilia sheria sana sheria ambazo Waebrania wanazichukulia kama sheria za Mungu.

Kuhusu neema iliyoletwa na Yesu Kristo.
Waebrania 7:11-12
11 Basi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi; (maana watu wale waliipata sheria kwa huo); kulikuwa na haja gani tena ya kuhani mwingine ainuke, kwa mfano wa Melkizedeki, wala asihesabiwe kwa mfano wa Haruni?

12 Maana ukuhani ule ukibadilika, hapana budi sheria nayo ibadilike.

TUNAPATA MAKUNDI MAWILI:
1. Wanaotaka sheria zote ziendelee kufatwa.
2. Na wanaosema sheria sio lazima tena. Kwanza ni nyingi na ngumu kuzishika zote.

Wagalatia 2:16
hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki.

Sheria (Torati)
Katika Torati (vitabu vitano vya kwanza vya Biblia, yaani Musa), kuna aina mbili za "amri" ambazo mara nyingi hujadiliwa:

Amri Kumi (Decalogue): Hizi ndizo amri kuu zinazojulikana na wengi, ambazo Mungu alimpa Musa kwenye Mlima Sinai. Zimeorodheshwa katika kitabu cha Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21. Hizi kumi ndio msingi wa maadili na sheria nyingi.

Amri Zote (Mitzvot): Kijadi, Wayahudi wanaamini kwamba Torati ina jumla ya amri 613 (zinazojulikana kama "Mitzvot 613"). Hizi 613 zinajumuisha amri kumi na sheria nyingine nyingi zinazohusu nyanja mbalimbali za maisha, kama vile ibada, sheria za kijamii, chakula, usafi, na kadhalika. Amri hizi 613 zimegawanywa katika amri chanya (mambo ya kufanya) na amri hasi (mambo ya kutokufanya).

Kwa hivyo, jibu fupi ni kwamba kuna Amri Kumi ambazo ni muhimu sana na zinazojulikana sana, lakini kwa ujumla, mila ya Kiyahudi inafundisha kuwa kuna amri 613 katika Torati.

Sheria zilizovyunjwa na wanafunzi wa Yesu.
1. Kufanya kazi siku ya sabato.
2. Kuchangamana na wasio wayahudi.
3.

Hadi Yesu kuondoka bado Petro alikuwa anaaamini kwamba Kujazwa roho mtakatifu ni haki ya wayahudi peke yao, mataifa mengine haiwahusu.

Huitaji Torati kujua Mungu hapendi nini na anapenda nini mfano mzuri,

Isaka na ibrahimu waliishi vipi na kuwa karibu na Mungu kipindi ambacho tarati haikuwepo bado ???

Kanisa la leo haliwezi kuhubiri neema (grace) kwani ulaji wao wa sadaka unatokana na sheria iliyotolewa na Musa katika Torati kuhusu matoleo, na ikumbukwe kuwa Mungu aliagiza matoleo kutoka katika Shamba na Mifugo, ambao walitokana na Ardhi ambayo Mungu kawapa.

Sasa wewe Mkristo wa leo unaambiwa toa fungu la Kumi na huku hakuna Ardhi umepewa kama urithi.

Petro atetea sio lazima Kutahiriwa
(Hapa kanisa lilifanya na kikao kupata maamuzi)
Matendo ya Mitume 15:10-11
10 Basi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka kongwa juu ya shingo za wanafunzi, ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulichukua.

11 Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.

Niulize Swali
Kwanini mbaraka wa Isaka kwa mwanaume wa kwanza wa kiume uliweza kuibiwa na mtoto wa pili ambaye ni Yakobo ??

Inawezekana vip mbaraka kuibiwa ?? unaiba nguvu za Mungu ??

Yakobo alikuwa Muongo na Tapeli na alishindana na Ndugu yake tangu tumboni, akamshika kisigino pacha wake ambaye ni kaka yake.
kumvuta kisigino ilikuwa ni ishara.

Bado Mungu anajionesha na Kusema Nimempenda Yakobo bali Esau nimemkataa.

Upo kundi gani.
1. Kuwa mshika sheria, au
2. Kuwa msikivu na mtii.
3. Vyote viwili.

Nimewasikiliza wahubiri wakubwa duniani waalimu na Manabii

Je unawajua wahubiri wakubwa duniani na misimamo yao kuhusus Sheria na Neema ???
1. Billy Graham
2. Myles Munroe

Kwasasa manabii wakubwa dunia na maarufu ninao wajua na waofundisha mambo mazito.
1. Prophet Ubert Angel
2. Prophet Lovy Elias
3. Prophet Passion Java

Hawa wote ni manabii Giants kutoka Afrika, kama baba yake wa kiroho na Musa alikuwa Muafrika, na Musa akaowa Mkushi.

Bila kuwasahau waalimu wazuri.

1. Apostle Miz Mzwakhe Tancredi (South Africa)
2. Paul S. Joshua.
3. Prophet David Rauf

Huwezi kuongeza Nguvu au viwango vyako vya kiroho, Bila kumuelewa Mungu kwa usahihi zaidi.🙏🏾
Mbona umeishia hapo!?? Nilitamani kuendelea kusoma zaidi na zaidi!
 
MKRISTO anayetegemea neema bila kutambua umuhimu wa amri na maagizo ya Mungu ni MKRISTO ambaye anatumia neema kama mbeleko ya kufichia uovu wake.

Neema sio Mbadala wa Sheria za Mungu Wala Sheria sio Mbadala wa neema.

Tunaokolewa KWA neema lakini tutahukumiwa KWA Sheria.
 
Yakobo 2:21-26
[21]Je! Baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu?
Was not Abraham our father justified by works, when he had offered Isaac his son upon the altar?
[22]Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.
Seest thou how faith wrought with his works, and by works was faith made perfect?
[23]Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.
And the scripture was fulfilled which saith, Abraham believed God, and it was imputed unto him for righteousness: and he was called the Friend of God.
[24]Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake.
Ye see then how that by works a man is justified, and not by faith only.
[25]Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?
Likewise also was not Rahab the harlot justified by works, when she had received the messengers, and had sent them out another way?
[26]Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
For as the body without the spirit is dead, so faith without works is dead also.

Ibrahim alikuwa akitekeleza neno la MUNGU aliloambiwa na MUNGU.akaliweka kwenye matendo,,,,Rahabu alisikia habari za MUNGU WA Israel,,,na wale wapelelezi walipofika kwake akaweka Imani yake Kwa MUNGU WA Israel akalisaliti taifa lake na akapona yeye na familia yake mwisho WA siku.......

Je Wewe mwenzangu WA Tanganyika ni neno lipi umeliweka kwenye Imani ili Imani yako isiwe function less??
 
mwisho wa siku hatuwezi kufanana uelewa,
We are not the same
Take your perception out of competition...Mimi nikikutana na mkristo anaejua bible huwa nakuwa mwanafunzi,,,labda Muslim na wasioamini ndio nitakuwa rude na arrogant...but mwisho WA siku uwe na level au class bado neno la MUNGU ni darasa kwetu sote.
 
Hatuhesabiwi haki kwa njia ya Sheria bali kwa neema.Yani Ile neema ndiyo inayokuwezesha kuishika na kuiishi Sheria .mfano : huwezi kushinda dhambi yoyote bila Neema kukuwezesha kushinda hiyo dhambi.Neema inakupa uelewa wa ndani wa kwa Nini usitende dhambi!!Neema inakupa nguvu ya ushindi wa dhambi!! Neema ni aiana ya uungu itendayo kazi ndani ya Mtu!! Yani ,Neema ikiwa ndani yako huoni ugumu wa kuishika sharia.Neema ni Yesu mwenyewe.ukiwa na Yesu ndani yako huwezi kutenda dhambi!!Mfano Mimi kabla ya kupata hii neema nilikuwa mzinzi sana lakini tangia nilipopata neema hii mwaka 2001 mpaka naoa 2007 sijawahi hata kumwambia msichana kwamba nampenda! Mpaka Leo sijawahi zini Wala kutoka nje ya ndoa!! Why? Kwa sababu Ile neema imenifunulia ubaya wa dhambi na imeniwezesha kushinda Ile dhambi! Sheria au amri kwamba usizini niliijua lakini kujua kwa Sheria Ile hakukunifanya nisizini!! Neema inatukataza kutenda dhambi Yani inatuwezesha kuzishika zile amri au Sheria bila ugumu wowote.

Kazi ya neema :

Tito 2:11-12
[11]Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa;
For the grace of God that bringeth salvation hath appeared to all men,
[12]nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa;
Teaching us that, denying ungodliness and worldly lusts, we should live soberly, righteously, and godly, in this present world;
Umeeleweka! Mungu akubariki
 
DHAMBI ni uasi wa Sheria.
Sin is transgression of law.

Neema inakupa uwezo wa kutii Sheria.
 
MKRISTO anayetegemea neema bila kutambua umuhimu wa amri na maagizo ya Mungu ni MKRISTO ambaye anatumia neema kama mbeleko ya kufichia uovu wake.

Neema sio Mbadala wa Sheria za Mungu Wala Sheria sio Mbadala wa neema.

Tunaokolewa KWA neema lakini tutahukumiwa KWA Sheria.
Take your perception out of competition...Mimi nikikutana na mkristo anaejua bible huwa nakuwa mwanafunzi,,,labda Muslim na wasioamini ndio nitakuwa rude na arrogant...but mwisho WA siku uwe na level au class bado neno la MUNGU ni darasa kwetu sote.
Mfano mwingine mzuri ni, kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi ?

ina pande mbili, ndio maana tunasema sheria inamapungufu.
 
Yakobo 2:21-26
[21]Je! Baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu?
Was not Abraham our father justified by works, when he had offered Isaac his son upon the altar?
[22]Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.
Seest thou how faith wrought with his works, and by works was faith made perfect?
[23]Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.
And the scripture was fulfilled which saith, Abraham believed God, and it was imputed unto him for righteousness: and he was called the Friend of God.
[24]Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake.
Ye see then how that by works a man is justified, and not by faith only.
[25]Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?
Likewise also was not Rahab the harlot justified by works, when she had received the messengers, and had sent them out another way?
[26]Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
For as the body without the spirit is dead, so faith without works is dead also.

Ibrahim alikuwa akitekeleza neno la MUNGU aliloambiwa na MUNGU.akaliweka kwenye matendo,,,,Rahabu alisikia habari za MUNGU WA Israel,,,na wale wapelelezi walipofika kwake akaweka Imani yake Kwa MUNGU WA Israel akalisaliti taifa lake na akapona yeye na familia yake mwisho WA siku.......

Je Wewe mwenzangu WA Tanganyika ni neno lipi umeliweka kwenye Imani ili Imani yako isiwe function less??
Hata wazee waliofia jangwani hawakuingia nchi ya ahadi kwa kutokuamini kwako, sio kwa kutokushika sheria kwao.

Perfection ya roho mtakatifu haikufanyi kuwa expert wa kutii sheria.

Samsoni Pamoja na kutoka kulala na kahaba, bado aliweza kuwauwa wafilisti maelfu kwa taya ya Punda.

Haya sio maziwa ni chakula kigumu. not for spiritual baby
 
Mfano mwingine mzuri ni, kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi ?

ina pande mbili, ndio maana tunasema sheria inamapungufu.
Kwani Sheria inasemaje kuhusu pombe na neema inasemaji?
 
Wakuu nimeona nishee nanyi kwa mfumo wa audio,huyu ni mmojawapo wa walimu wazuri sana hapa tz wa injili ya Kristo asieficha ukweli,unafki wala konakona na janjajanja.
 
Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom