Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

Kuitimiza sheria gani? Roho mtakatifu hakuja ili kutusaidia sisi kuitimiza sheria/TORATI.
Warumi 8:1-9
[1]Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.
There is therefore now no condemnation to them which are in Christ Jesus, who walk not after the flesh, but after the Spirit.

[2]Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
For the law of the Spirit of life in Christ Jesus hath made me free from the law of sin and death

[3]Maana yale yasiyowezekana kwa sheria, kwa vile ilivyokuwa dhaifu kwa sababu ya mwili, Mungu, kwa kumtuma Mwanawe mwenyewe katika mfano wa mwili ulio wa dhambi, na kwa sababu ya dhambi, aliihukumu dhambi katika mwili;
For what the law could not do, in that it was weak through the flesh, God sending his own Son in the likeness of sinful flesh, and for sin, condemned sin in the flesh:

[4]ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.
That the righteousness of the law might be fulfilled in us, who walk not after the flesh, but after the Spirit.

[5]Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili; bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho.
For they that are after the flesh do mind the things of the flesh; but they that are after the Spirit the things of the Spirit.

[6]Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
For to be carnally minded is death; but to be spiritually minded is life and peace.

[7]Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.
Because the carnal mind is enmity against God: for it is not subject to the law of God, neither indeed can be.

[8]Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
So then they that are in the flesh cannot please God.

[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.
 
Nimeshindwa kuelewa hoja yako sababu hujaweka maelezo hata kidogo
 
Tunakombolewa kwa Imani mkuu - ikiwa bado tuko chini ya sheria means bado hatujakubali katika mioyo yetu.

Mfano hapa nchini kila mmoja angekua na Imani sasa Sheria ya nini wakati kila mmoja anajua toka ndani ya moyo kipi ni sahihi kufanya?
 
Shida umekuja kasi ya ngiri bila umakini ?

Sijasema Yesu kavunja Sheria.
Nimesema wanafunzi wake. acha ubumunda basi.
Nimemuongelea Yesu kama Ministry na sio Yesu Individual.
individuality ya Yesu sio hoja kwangu,his ministry Is.unaposema wanafunzi wa Yesu walivunja Sheria ya Mungu ni sawa na Kusema Yesu alivunja sheria kitu ambacho si kweli.
kitabu cha mwisho cha Bible kimeandikwa na mwanafunzi wa Yesu anasistiza sheria.
Tafsiri mbovu za Bible kama hii uliyoitoa zinapqtikana sana kwenye Viosk vingi vilivyopewa jina la KANISA.
 
Yn 5:17 SUV
[17] Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.

Yesu alisema maneno kama hayo huoni kuwa alikuwa kinyume na Sheria...

Sheria inasema "Usifanye kazi yoyote" Lakini Yesu akawaambia Yeye na Baba yake wanafanya kazi hata siku ya Sabato.

Lakini mkuu moja ya sheria ali-quote Yesu inasema hivi;
Mathayo 15:4 BHN
[4] Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’

Je sheria hiyo unaifuata au kuna namna umeirekebisha?

Sheria zingine ni hizi, je unazifuata pia au kuna namna umezirekebisha

Kutoka 22:18-19 BHN
[18] “Usimwache mwanamke mchawi aishi. [19] “Anayezini na mnyama lazima auawe.
Unaandika vitu generally sana..;kutenda kazi hata sasa kunavunjaje sheria?.
na kwanini mnajadili sheria kulenga Sabato tu ilhali hata usizini ni sheria.
Wewe unazini?.ikiwa huzini nini kinafanya usizini ilhali sheria hazipo kwa mujibu wenu?.
 
Ndiyo watakatifu ni wale washikao sheria na Imani ya Kristo.
Lakini lazima ujue Sheria ya Kristo ni ipi? Sheria ziko za aina mbili
1. Sheria ya Roho iletayo Uzima.
2. Sheria ya Dhambi iletayo mauti.

Rum 8:2 SUV
[2] Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.

Torati ndiyo iletayo dhambi na matunda yake ni mauti (Torati ndiyo Sheria ya Dhambi na Mauti).
Andiko hilo katika ufunuo limesema Amri/Sheria za Mungu na imani ya kristo, Amri za Mungu alizomaanisha hapo hapo siyo Amri kumi au TORATI.
Torati inaletaje dhambi?.
Je,torati ilikuwepo pale Edeni wakati Dhambi ya kwanza inatendwa?.
unajua kusema: torati inaleta dhambi ni sawa na kusema" Kioo kinaleta uchafu" eti kwasababu tu umejitazama kupitia kioo ukijiona una Tongotongo.

Nb: umesema "Yesu hakuongelea Amri hizi tuzijuazo".
kumbe kuna amri zingine mbali na hizo za torati,ni zipi hizo sasa?.
 
Nimeshindwa kuelewa hoja yako sababu hujaweka maelezo hata kidogo
Kwenye mstari WA 4 na WA 9 kuna maagizo ya torati kutimizwa ndañi yetu Kwa nguvu ya ROHO Mtakatifu. Kwa sababu Sheria ya torati haifanyi tena vita kushindana na miili yetu.

1 Wakorintho 15:56
[56]Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati.
The sting of death is sin; and the strength of sin is the law.

Warumi 8:4,9
[4]ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.
That the righteousness of the law might be fulfilled in us, who walk not after the flesh, but after the Spirit.

[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.

Naamini umepata hoja yangu
 
Kwahiyo Roho mtakatifu si kwa ajili ya kutufanya sisi tushike Sheria, Bali Roho mtakatifu yupo kwa ajili ya kutufanya sisi tuwe wana bila kujali tunaishije.

Yaani leo naweza nikazini, pamoja na kwamba nimezini haiondoi Title yangu ya kuwa mwenye haki/mwana wa Mungu kwa sababu HIYO HAKI nimepewa bure haihusiani na matendo yangu ya jana wala Kesho.
Warumi 6:1-14
[1]Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi?
What shall we say then? Shall we continue in sin, that grace may abound?

[2]Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?

God forbid. How shall we, that are dead to sin, live any longer therein?

[3]Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Know ye not, that so many of us as were baptized into Jesus Christ were baptized into his death?

[4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
Therefore we are buried with him by baptism into death: that like as Christ was raised up from the dead by the glory of the Father, even so we also should walk in newness of life.

[5]Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
For if we have been planted together in the likeness of his death, we shall be also in the likeness of his resurrection:

[6]mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
Knowing this, that our old man is crucified with him, that the body of sin might be destroyed, that henceforth we should not serve sin.

[7]kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.

For he that is dead is freed from sin.

[8]Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye;
Now if we be dead with Christ, we believe that we shall also live with him:

[9]tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
Knowing that Christ being raised from the dead dieth no more; death hath no more dominion over him.

[10]Maana kwa kule kufa kwake, aliifia dhambi mara moja tu; lakini kwa kule kuishi kwake, amwishia Mungu.
For in that he died, he died unto sin once: but in that he liveth, he liveth unto God.

[11]Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
Likewise reckon ye also yourselves to be dead indeed unto sin, but alive unto God through Jesus Christ our Lord.

[12]Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake;
Let not sin therefore reign in your mortal body, that ye should obey it in the lusts thereof.

[13]wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.
Neither yield ye your members as instruments of unrighteousness unto sin: but yield yourselves unto God, as those that are alive from the dead, and your members as instruments of righteousness unto God.

[14]Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema.
For sin shall not have dominion over you: for ye are not under the law, but under grace.
 
Yaani leo naweza nikazini, pamoja na kwamba nimezini haiondoi Title yangu ya kuwa mwenye haki/mwana wa Mungu kwa sababu HIYO HAKI nimepewa bure haihusiani na matendo yangu ya jana wala Kesho.
Warumi 6:15-22
[15]Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya sheria bali chini ya neema? Hasha!
What then? shall we sin, because we are not under the law, but under grace? God forbid.

[16]Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii, kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao haki.
Know ye not, that to whom ye yield yourselves servants to obey, his servants ye are to whom ye obey; whether of sin unto death, or of obedience unto righteousness?

[17]Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;
But God be thanked, that ye were the servants of sin, but ye have obeyed from the heart that form of doctrine which was delivered you.

[18]na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mkawa watumwa wa haki.
Being then made free from sin, ye became the servants of righteousness.

[19]Nasema kwa jinsi ya kibinadamu kwa sababu ya udhaifu wa miili yenu. Kwa kuwa kama mlivyovitoa viungo vyenu vitumiwe na uchafu na uasi mpate kuasi, vivyo hivyo sasa vitoeni viungo vyenu vitumiwe na haki mpate kutakaswa.
I speak after the manner of men because of the infirmity of your flesh: for as ye have yielded your members servants to uncleanness and to iniquity unto iniquity; even so now yield your members servants to righteousness unto holiness.

[20]Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na haki.
For when ye were the servants of sin, ye were free from righteousness.
[21]Ni faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyatahayarikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti.
What fruit had ye then in those things whereof ye are now ashamed? for the end of those things is death.

[22]Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
But now being made free from sin, and become servants to God, ye have your fruit unto holiness, and the end everlasting life.

Kufanya dhambi ni kwamba huheshimu wakati uliopita WA Sheria ya Torati ''USIZINI'' WAla hutaki kuelewa Sheria ya Musa inatakiwa kutekelezwa vipi kwenye kipindi au wakati WA neema ya YESU KRISTO...
 
Unaandika vitu generally sana..;kutenda kazi hata sasa kunavunjaje sheria?.
Sheria inasema usifanye Kazi, lakini Yesu na Baba yake wanasema wanatenda kazi hata sasa.

Huoni hapo wanavunja sheria...?

na kwanini mnajadili sheria kulenga Sabato tu ilhali hata usizini ni sheria.
Wewe unazini?.ikiwa huzini nini kinafanya usizini ilhali sheria hazipo kwa mujibu wenu?.
Kinacho nifanya nisizini au nisiseme uongo siyo Sheria, Bali sizini kwa sababu ndiyo asili yangu mpya kama mwana wa Mungu.

Lakini pia, kesho au kesho kutwa naweza nikazini au nikasema Uongo. Na bado nitabaki mtakatifu sababu sheria ama dhambi haviongozi maisha yangu.

Dhambi IPO kwa sababu Musa/Torati inakushtaki, dhambi ipo kwa sababu bado unaona kwa macho yako ys Nyama.
Yn 5:45 SUV
[45] Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi.

Lakini kama ungemuelewa Kristo usingekuwa na dhambi.

Yohana 9:39-41 NEN
[39] Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.” [40] Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?” [41] Yesu akawajibu, “Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.
 
Nimemuongelea Yesu kama Ministry na sio Yesu Individual.
individuality ya Yesu sio hoja kwangu,his ministry Is.unaposema wanafunzi wa Yesu walivunja Sheria ya Mungu ni sawa na Kusema Yesu alivunja sheria kitu ambacho si kweli.
kitabu cha mwisho cha Bible kimeandikwa na mwanafunzi wa Yesu anasistiza sheria.
Tafsiri mbovu za Bible kama hii uliyoitoa zinapqtikana sana kwenye Viosk vingi vilivyopewa jina la KANISA.
Mada ya huu uzi ni Aina Mbili za wakristo.

Kwahiyo kwanza unatakiwa ujibu hoja ulizozikuta hapo juu.

Hakuna sababu za uadui, Pande mbili zote zinahoja,

Kulikua na Sheria ya Kutahiriwa.

Lakini Kornelio alijazwa roho mtakatifu akiwa na govi 😂😃
 
Utakatifu haupatikani kwa kusema Mungu nisamehe makosa yangu sitarudia tena.
Kwa hio unaweza kufanya dhambi Kwa makusudi,,,Kwa kujuà na kudhamiria na usitubu??

Je! Unae ROHO Mtakatifu ndañi yako au unajiongoza mwenyewe?
 
Kwa hio unaweza kufanya dhambi Kwa makusudi,,,Kwa kujuà na kudhamiria na usitubu??

Je! Unae ROHO Mtakatifu ndañi yako au unajiongoza mwenyewe?
dhambi ipi unazungumzia, kuvunja moja kati ya sheria 613 ?? 😂😂

unavunja sheria kila siku amini hilo, you can't keep the Law.
 
dhambi ipi unazungumzia, kuvunja moja kati ya sheria 613 ?? 😂😂

unavunja sheria kila siku amini hilo, you can't keep the Law.
No hata zile 10 command... Naweza nikazini,,,nikatamani,,,nikachukia...do you think sihitaji toba??

Kama navunja Sheria kila siku sihitaji toba kila siku??
 
No hata zile 10 command... Naweza nikazini,,,nikatamani,,,nikachukia...do you think sihitaji toba??

Kama navunja Sheria kila siku sihitaji toba kila siku??
acha kila siku, nafikiri unahitaji toba kila baada ya sekunde kazaa..
Pia kabla uvunje sheria, hata kuwaza vibaya tu hiyo ni kosa...

Nikueleze jambo hili, roho mtakatifu akusaidie kuelewa.

Kuwa mwema hakukufanyi wewe kuingia mbinguni hiyo sio tiketi

Tiketi ni wewe kuwa na Imani Hai, imani hai sio kushika sheria zote za wayahudi..

Jambo gumu ambalo wengi linawashinda katika wokovu ni kuishi ukitenda kazi au maelekezo ya Yesu.

Sauli alikua Mshika sheria, farisayo mwana wa farisayo lakini bado alimuudhi Yesu kwa kukosa ufunuo binafsi wa nn cha kufanya.

Kwahiyo litakapokuja jaribu au mtihani, Imani utailinda ????

Kuna matendo ya Sheria na Matendo ya Imani, Je unayajua Matendo ya Imani ???

Achana na Matendo ya Sheria hayakupeleki popote, wekeza Nguvu kuyajua matendo ya Imani.

Wagalatia 2:16 hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom