Aina kuu 8 za vitambi, je wewe unacho kipi?

Aina kuu 8 za vitambi, je wewe unacho kipi?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu,

Kuna aina kuu 8 za vitambi kama ifuatavyo;

1.Vitambi vya mawazo.

2.Vitambi vya umasikini.

3. Vitambi vya utajiri.

4. Kiroba tumbo.

5. Vitambi vya madeni.

6. Vitambi vya umbea.

7. Vitambi vya madeni.

8. Vitambi vya ngono.


Je, wewe mwana Jf una kitambi cha aina gani?
 
Kitambi ni matunda ya UFAKAMIZI bila utaratibu......Aina yoyote uliyonayo ujue NI MATOKEO YA UFAKAMIZI BILA STAHA
 
Tuanze na ww mtoa mada unakitambi aina gan maana km huna
Usingetoa hii mada mm sina aisee
 
Na wakuu wa nchi nao vitambi vyao unataka kusema hawapangilii milo yao vizuri!
 
Sio vitambi vyote vinasababishwa na ulaji mwingi! Ila vingine ni matokeo ya kuridhika na hali ulionayo hata kama huli sana.
 
wakuu kuna aina kuu 8 za vitambi kama ifuatavyo. 1.vitambi vya mawazo. 2.vitambi vya umasikini. 3. Vitambi vya utajiri. 4. Kiroba tumbo. 5. Vitambi vya madeni. 6. Vitambi vya umbea. 7. Vitambi vya madeni. 8. Vitambi vya ngono. Je wewe mwana jf una kitambi cha aina gani?

9: Vitambi vya banana
10: Vitambi vya mbege&buzaaa
 
Back
Top Bottom