- Thread starter
- #21
Sio vitambi vyote vinasababishwa na ulaji mwingi! Ila vingine ni matokeo ya kuridhika na hali ulionayo hata kama huli sana.
kwa jinsi nilivyokusoma lazima unakitambi mkuu
Sio vitambi vyote vinasababishwa na ulaji mwingi! Ila vingine ni matokeo ya kuridhika na hali ulionayo hata kama huli sana.
Kitambi nilichonacho kinaitwa "Chuki kwa CCM"Wakuu,
Kuna aina kuu 8 za vitambi kama ifuatavyo;
1.Vitambi vya mawazo.
2.Vitambi vya umasikini.
3. Vitambi vya utajiri.
4. Kiroba tumbo.
5. Vitambi vya madeni.
6. Vitambi vya umbea.
7. Vitambi vya madeni.
8. Vitambi vya ngono.
Je, wewe mwana Jf una kitambi cha aina gani?
Wakuu,

mkuu wakikusikia wenyewe shauri yako
Weka na picha ili tuchague jibu sahihi. Ila mimi cha kwangu naona ni cha utumishi hemani mwa Bwana! Injili iende mbele!Wakuu,