Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,663
Bado tuu hujarudi home mkuu?Mimi nili nunua Geepas Manual Sub-woofer Kule Algeria ni ya ukweli kaka kitu kinapika Masantula ya kufa mtu Mwaka wa 5 huu .
Bahati mbaya sana sina picture yake hapa ila inafanana kidogo na hii ila yenyewe fupi na nene alafu ina miguu kwa chini, nikirudi home nitachukua screen kwa simu nikuwekee ujaribu kutafuta hapa bongo nadhani zitakuwa zimeshaingia.
Bei ya kibongo bongo itakuwa kati ya 250-350K