Aina ipi ya sabufa ni nzuri

tafuta geepas ile ambayo ni nyeupe manual au sayona, hizi ni nzuri zina sound ya ukweli,nakushauri chukua ambazo operation yake ni manual. hizi za remote kama kodjetec,sean piano,rising huwa zinatatizo la kufa ac ya memory hivyo unashindwa kujiprogram yenyewe kinachotokea huwa inajiongeza sauti yenyewe au kupunguza,au haiwezi kubalance satelite speakers etc. hiyo geepas ni moto wa kuotelea mbali kwa bass ina radio na usb,kitu sio mchina ni mwarabu,emirate.hizi ni kampuni moja na subwoofer za jec kama uliwahi zitumia
 
zinapatikana sehemu gani kwa hapa dar? naogopa kuibuka na mchina mkuu

kama vipi chukua redio ya mtumba ambayo iko bi amplified,yaani ina subwoofer na mid na kila party ya kati ya sub na mid inadrive ampl inayojitegemea,tafuta panasonic sa ak 78,88,47, au jvc td7
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371896022258.jpg
    uploadfromtaptalk1371896022258.jpg
    72.1 KB · Views: 632
Au nunua hii kitu, subwowers@ 360w rms,mid spekers @ 360w rms, dome tweters180w rms@kitu cha sumsung bei 1.4 m
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371896393936.jpg
    uploadfromtaptalk1371896393936.jpg
    13.6 KB · Views: 603
Kama huna jibu nyamaza watajibu wengine!

Haya! Wamesha kujibu swali lako la kinafiki? Yaani wachangia mada kwenye post zilizo tangulia wamemwelewa mtoa mada. Had wameweka picha we bado unasubiri ujibiwe tu? Endelea kusubiri.
 
Kuna Lg HX906PAN hii kitu ni nzuri
Inakua na speaker 5 deck yake inachukua all type 3D and blue lays- ni smart tv pia Ina HMDI 2 bila kusahau AUX na USB unaweza sikilizia muziki kwa iPhone/iPod kuna dock pia Ina kua na raha zaidi Kama utakua na WiFi,, Ina sauti nzuri Sana
 
Mimi nili nunua Geepas Manual Sub-woofer Kule Algeria ni ya ukweli kaka kitu kinapika Masantula ya kufa mtu Mwaka wa 5 huu .
Bahati mbaya sana sina picture yake hapa ila inafanana kidogo na hii ila yenyewe fupi na nene alafu ina miguu kwa chini, nikirudi home nitachukua screen kwa simu nikuwekee ujaribu kutafuta hapa bongo nadhani zitakuwa zimeshaingia.
Bei ya kibongo bongo itakuwa kati ya 250-350K
geeps.jpg
 
Back
Top Bottom