Kama ni matumizi ya nyumbani chukua AILiANG AL9600(USBFM9600A) 5.1 CH au chukua aina hiyo hiyo class B au C ndugu utafurahia mdundo wake bei ya zamani 450,000 kama ni Class C speaker 4 fupi inch kama 40 hivi kama sijakosea na kama ni Class B bei ni juu kidogo lakini haipishani sana na Class A kwakua Class A ndio inauzwa bei juu kama kilo 7 na kuendelea kwa bei ya mwaka 2013 sasa kwa bei ya 2016 ndio sijui labda uingie kwenye mtandao ucheki na itakubidi uagize nje ya nchi kama utazikosa kariakoo Dar au Mkoani mbeya endapo utaona inafaa