Mkuje tuitikieni jamaninafanya maombi:
MUNGU BABA ULIYE KETI KITI CHA JUU NA UKASEMA MIGUU YAKO INAKANYAGA DUNIANI SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO, MWENYENZI NAOMBA TOBA KWA MLETA MADA NA VIJANA WENGINE WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO NA KUSAHAHU KILA BINADAMU AMEKUJA DUNIANI KWA KUSIDIO MAALUMU NA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKO , LEO HII WAMEKAA NA KUKOSOA UUMBAJI HUO WAREHEMU BABA ..
KATIKA NENO LAKO ULISEMA TUOMBE LOLOTE TUTAPATA , MUNGU MWENYE ENZI NAOMBA HAWA WANAUME WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO HAYO MAKOSA WALIOANDIKA NDIYO WAWE WAKE ZAO NA WAKIOA WALE WANAO WATAKA WAO MAISHA YAO YAWE TABU NA SHIDA TUPU... AMEN
aminaMkuje tuitikieni jamani
espy Sexless Shunie Sakayo mahondaw MADAM T cherie neisha unique dada everhurt LadyAJ stacia Inna Paprika BADILI TABIA thatsit cesilia Sweet16 Numbisa Mamylicious Sky Eclat na wengine wengi ili wakome kukosoa uumbaji wa m'mungu
nimesikitika sana
Mimi ndio nimewashinda kabisa.Mimi zaidi[emoji21][emoji21][emoji21]
Pole maeMimi ndio nimewashinda kabisa.
Mkuuu kuchagua mwenza haihusiani na uumbaji..hata wewe najua unavigezo vyakoInasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.
Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Ahsante mwaya.Pole mae
Ila vyake vimezidi aiseeMkuuu kuchagua mwenza haihusiani na uumbaji..hata wewe najua unavigezo vyako
Mbona kwenye flat screen umepaongelea sana . ..kwani na wewe ni muhanga ?[emoji5][emoji5]halafu unachagua saana na pesa huna mfyuuu mkafie mbele huko eti flat screen mfyuuuu kwenda
sisemi mimi namasikitiko tuMbona kwenye flat screen umepaongelea sana . ..kwani na wewe ni muhanga ?[emoji5][emoji5]
Tunaitolea povu kwa sababu ambao wako hivyo hawakupenda kuwa hivyoMbona hii mada wadada wengi wanaitolea povu ?[emoji23]
Pole sanaAsante mkuu nimekusikia.
Kivipi?Tunaitolea povu kwa sababu ambao wako hivyo hawakupenda kuwa hivyo
Ukimaanisha?Kivipi?
Sijaelewa bandiko lako litolee ufafanuzi kidogo.Ukimaanisha?
πSasa wew unaweza kushangaa ukafall na kuoa kabisa MTU uyu apa,..
Short chassis,flat bar,single mom..mungu akakuongezea, kabisa na BIGGG BOOBSS kama extra charges,
Mwanamke mwenye shape kama tuta la viazi akae mbali
Mwanamke mwenye migulu baja I.e miguu kama namba saba ya kirumi akae mbali
Mwanamke mwenye matiti makubwa kama ng'ombe wa kisasa apite mbali
Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali
MmhhhSijaelewa bandiko lako litolee ufafanuzi kidogo.