Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi


Na wenyewe wale wanaokuVutia nahisi watakuwa wanasema dume kashfa likae mbali nasi hivo hao unao
wakashifu ndio wakombozi wako vinginevyo bwana puchu atajuwa ndugu yaki
 
Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali


Kwa hiyo mkeo matiti yake yatasimama milele mkuu? Halafu unatoa masharti kibao as if wenyewe nao wametangaza wanakutaka vile. Wanaume wastaarabu hatutoi kauli mufilisi kama hizi...
 
tema mate chini
 
Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.

Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Tatizo ni yeye kutoa maoni yake,mambo yakuumba yametoka wapi tena,na huo mjumuisho wako wa mapenzi nani kakwambia mtoa mada anautaka,we elewa tu kaa mbali na yeye.
 
Mh[emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…