Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,776
- 39,990
zipo mkuu, ila ikiwa na 10000mah haimaanishi inakaa na chaji zaidi hasa kama inatoka kampuni ndogo,Kwa hio kaka unataka kuniambia hakuna10000mah kwa sasa dunian?
nenda aggrey kuna mafeature phone kibao yana 10000mah ila yanakaa na chaji kama Nokia kitochi, una simu kubwa kama kitofali lakini uwezo haina faida yake nini?
siku hizi kuna breakthrough ya battery kampuni kubwa wana uwezo wa kukuwekea 5000mah ama 6000mah bila kuathiri sana ukubwa simu,