Aina hii ya simu, nikiagiza haziwezi kuleta shida bongo?

Kwa hio kaka unataka kuniambia hakuna10000mah kwa sasa dunian?
zipo mkuu, ila ikiwa na 10000mah haimaanishi inakaa na chaji zaidi hasa kama inatoka kampuni ndogo,

nenda aggrey kuna mafeature phone kibao yana 10000mah ila yanakaa na chaji kama Nokia kitochi, una simu kubwa kama kitofali lakini uwezo haina faida yake nini?

siku hizi kuna breakthrough ya battery kampuni kubwa wana uwezo wa kukuwekea 5000mah ama 6000mah bila kuathiri sana ukubwa simu,
realme-6i-2.jpg
 
Ngoja labda tuendelee kupata elimu kabla ya kufanya maamuz lkn nadhan dunian bado kuna cm nzur sn zaid ya tunavoaminishana na hta hao xiomi sidhan kama mwanzon watu walikua wanazinunua lkn walivotokea watu wachache na kuzinunua ndio sifa zikaanza miminika
mkuu hakuna kipaji cha kutengeneza simu na kwenye simu hakuna hidden gem. never ever usitegemee eti kikampuni hskijulikani kinatengeneza bidhaa nzuri.

hao xiaomi sio kwamba wanatengeneza bidhaa nzuri wenyewe, bali wananunua vitu quality, battery na display zao ni nzuri sababu wananunua Samsung ama lg, processor zao ni nzuri sababu zinatoka qualcomm, usb zao ni nzuri sababu wanafuata standaard mpya kama usb3 etc

vifaa vya simu research zake zinatumia matrilioni ya hela, watu wanatumia hadi trilioni 20 kwa mwaka ku improve hivyo vitu, kampuni ndogo haziwezi ku afford hayo mambo, huwezi tu ukakaa Ghetto eti ukatengeneza display nzuri kuliko super amoled.
 
Realme 6i inapatikana kwa bei gani ?
around laki 4, sema strong point yake ni ukaaji chaji, mambo mengine kama ram, display ni kawaida sana, zipo simu nzuri zaidi kwa laki 4. hivyo kama kwako ukaaji chaji ni muhimu zaidi hii ndio simu.
 
zipo mkuu, ila ikiwa na 10000mah haimaanishi inakaa na chaji zaidi hasa kama inatoka kampuni ndogo,

nenda aggrey kuna mafeature phone kibao yana 10000mah ila yanakaa na chaji kama Nokia kitochi, una simu kubwa kama kitofali lakini uwezo haina faida yake nini?

siku hizi kuna breakthrough ya battery kampuni kubwa wana uwezo wa kukuwekea 5000mah ama 6000mah bila kuathiri sana ukubwa simu,
realme-6i-2.jpg
Pamoja sn kaka,elimu nzur
 
mkuu hakuna kipaji cha kutengeneza simu na kwenye simu hakuna hidden gem. never ever usitegemee eti kikampuni hskijulikani kinatengeneza bidhaa nzuri.

hao xiaomi sio kwamba wanatengeneza bidhaa nzuri wenyewe, bali wananunua vitu quality, battery na display zao ni nzuri sababu wananunua Samsung ama lg, processor zao ni nzuri sababu zinatoka qualcomm, usb zao ni nzuri sababu wanafuata standaard mpya kama usb3 etc

vifaa vya simu research zake zinatumia matrilioni ya hela, watu wanatumia hadi trilioni 20 kwa mwaka ku improve hivyo vitu, kampuni ndogo haziwezi ku afford hayo mambo, huwezi tu ukakaa Ghetto eti ukatengeneza display nzuri kuliko super amoled.
Pamoja sn
 
around laki 4, sema strong point yake ni ukaaji chaji, mambo mengine kama ram, display ni kawaida sana, zipo simu nzuri zaidi kwa laki 4. hivyo kama kwako ukaaji chaji ni muhimu zaidi hii ndio simu.
Ram na storage inaweza kuwa ngapi kaka ? Ili nione kama inafaa kwangu.
 
Nime agiza vivo ad Leo mtandao haukamat yani na cheza gem tuu simu mpya
hii hata mm nashindwa kuelewa kwanini sijui hasijasajiliwa word wide au vp maana nikikumbuka inshu ya kuzima simu fake napata picha simu zote zinazotumika tanzania imei namba zake lazima zisome TCRA je hizi tunazonunua mitandaoni imei zinasoma TCRA? maana na mm kunasiku niliagiza simu KIKUU yaani ni kopo tu haisomi network

wataalam ebu tujuzen hapa ili kuagiza simu za alibaba, aliexpress, kikuu, amazon zisome network za tanzania unaangalia nn?
 
Unapo agiza Ali express cha kwanza akikisha iyo simu ni global version

Pia Kwa ishu ya mtandao may be kupata 4G hakikisha simu ina bandwidth zinazo fanana na service provider like 2100, 1800, 2300 ect
hii hata mm nashindwa kuelewa kwanini sijui hasijasajiliwa word wide au vp maana nikikumbuka inshu ya kuzima simu fake napata picha simu zote zinazotumika tanzania imei namba zake lazima zisome TCRA je hizi tunazonunua mitandaoni imei zinasoma TCRA? maana na mm kunasiku niliagiza simu KIKUU yaani ni kopo tu haisomi network

wataalam ebu tujuzen hapa ili kuagiza simu za alibaba, aliexpress, kikuu, amazon zisome network za tanzania unaangalia nn?
 
hii hata mm nashindwa kuelewa kwanini sijui hasijasajiliwa word wide au vp maana nikikumbuka inshu ya kuzima simu fake napata picha simu zote zinazotumika tanzania imei namba zake lazima zisome TCRA je hizi tunazonunua mitandaoni imei zinasoma TCRA? maana na mm kunasiku niliagiza simu KIKUU yaani ni kopo tu haisomi network

wataalam ebu tujuzen hapa ili kuagiza simu za alibaba, aliexpress, kikuu, amazon zisome network za tanzania unaangalia nn?

Kabla ya kuagiza simu inabidi usome maelezo ya simu kisha umfate muuzaji umuulize iyo simu ni unlocked au sio unlocke kama sio achana nayo tambua kuwa hiyo ni biashara na ulisema kwamba simu ilikuja ilikua haisomi mtandaon ulimuuliza mwenye mzigo kama ikizingua ntakurudishia
 
Back
Top Bottom