Aina hii ya simu, nikiagiza haziwezi kuleta shida bongo?

Hii kaka lazima niagize mana siwez nikaiacha 10000mah mana uwezo wa betr nying unacheza 5000 to 4000 lkn hao jamaa ni shida

Pale nimeona kama Imeandikwa Doogee kama ni hao simu zao Mostly ni rugged phone na ni nzuri kama unataka simu ya kazi haujali mbwembwe za muonekano nn inafaa
 
Mimi nilinunua umidig a5 pro toka mwaka juzi naitumia vizuri tu. Cha msingi angalia reviews za watu na bands Kama zinaendana na mitandao ya huku
 
Back
Top Bottom