tonicJr
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 468
- 482
Upo sawa Mkuu maana saivi kila Mtu inabidi awe na Chimbo lake...kwetu Hapaeleweki[emoji23][emoji23][emoji23]😀 mkuu akupe location alaf iweje? Ukitokea msako jamaa ndio kimbilio lake huko maporini ha ha haaa.....