Huyo hatari..hivi punde kamng´ata mtafiti wa zika,yupo hoiHao wote chamtoto huyu ni noma anapatikana tanzania Joka Poli Magogoni
Anapendelea kukaa kwenye magogo
Tena wakijaniHuyo hatari..hivi punde kamng´ata mtafiti wa zika,yupo hoi

Wewe Lwiva!! Acha basi mnyalukolo.Hao nyoka wenye vichwa vyekundu huwa wanawika kama jogoo
hapo wataalamu wa mambo ya snake venom huwa wanahesabu ile miramba ambayo IPO juu ya kichwa kwafano miramba nane juu ya kichwa nyoka huyo ni hatari kwa maisha yako napia huwa wanaangalia morphology ya tumbo lakeMbona chatu ana kichwa kama geneza ila hana sumu mkuu?
huyo nyoka wa blue anaitwa Calliophis bivirgata anapatikana nchi za Asia pia ana sumu ambayo inafanya destruction ya muscle tissueIv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
na huyo mweupe ni python ambae ni white Python hawa kwa tz sidhani kama wapoIv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
Mkuu wapo wengi tu,najua unahitaji kwa ajili ya urembo/mfugo nyumbani nipm ntakuletea Nipe order yakoIv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
Red headed-krait wanapatikana tu baadhi ya sehemu za Marekani na wana sumu kali sanaIv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
HahahahaHuyo hatari..hivi punde kamng´ata mtafiti wa zika,yupo hoi
Blessing in disguiseRed headed-krait wanapatikana tu baadhi ya sehemu za Marekani na wana sumu kali sana
huyo mweupe ana hali ya hitilafu kwenye ngozi yake (piebaldism) ambayo imepelekea kuwa na muonekano mzuri
Yap japo imezoeleka nyoka ni viumbe wabaya ila kuna nyoka wameumbwa kwa namna ya kupendeza sana na baadi hawana sumu kabisaBlessing in disguise
Aione FaizaFoxy ikiwa kwenye jalada.Wapo ila mpaka uende kwenye misitu mikubwa, baadhi yao nimewahi kuwaona wakati tunaenda kuwinda wanyama polini