Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .

Yeah absolutely... Black mamba is very dangerous kaka...jaribu kufuatilia SNAKE HANDLERS wanavyopata tabu kuwakamata, huyu snake anatisha...

Cobra nae ni balaa, lakini kwa Black Mamba nijuavyo ni very bad snake...usiombe ukutane nae...
 
hapo wataalamu wa mambo ya snake venom huwa wanahesabu ile miramba ambayo IPO juu ya kichwa kwafano miramba nane juu ya kichwa nyoka huyo ni hatari kwa maisha yako napia huwa wanaangalia morphology ya tumbo lake
Mboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumu
 
Mkuu kwani ukikutana na nyoka utapata huo muda wa kuangalia mboni.

Ni mojawapo ya viumbe hatari sana kwa binadamu ukiona nyoka lazima kwanza utaenda mbali kabla ya kuchukua maamuzi mengine
 
paka pia wana sumu kali? Mamba ana sumu kali? Ukali wa sumu hutegemea diet anayokula mfano nyoka anayefugwa na aliye msituni sumu zao huwa tofauti, pia aina ya nyoka ndiyo unatakiwa uwe nayo attention na siyo mboni.
 
Green-mamba-Medium.jpg

The eastern green mamba (Dendroaspis angusticeps), also known as the common mamba, East African green mamba, green mamba, or white-mouthed mamba, is a large, tree-dwelling, highly venomous snake species of the mamba genus Dendroaspis. This species of mamba was first described by aScottish surgeon and zoologist in 1849. This snake mostly inhabits the coastal regions of southern East Africa. Adult females average approximately 2.0 metres (6.6 ft) in length, and males are slightly smaller. Eastern green mambas prey on birds, eggs, bats, and rodents such as mice, rats, and gerbils. They are shy and elusive snakes which are rarely seen, making them somewhat unusual among mambas, and elapids in general. This elusiveness is usually attributed to the species' green colouration which blends with its environment, and its arboreal lifestyle. However, eastern green mambas have also been observed to use "sit-and-wait" orambush predation like many vipers, unlike the active foraging style typical of other elapids, which may be a factor in the rarity of sightings.

Like other species of mamba, the eastern green mamba is highly venomous. The venom acts on the nerves, heart, and muscles, and spreads quickly through tissue. Bites rapidly progress to life-threatening symptoms characteristic of mamba bites, which include swelling of the bite area, dizziness, nausea, difficulty breathing and swallowing, irregular heartbeat, convulsions, and eventualrespiratory paralysis. A neurotoxin common to all species within the genus Dendroaspis is the most rapid-acting snake venom toxin known[citation needed], so although this species is not aggressive and is not a major cause of snakebite incidents in Africa, the mortality rate associated with eastern green mamba bites is high. Reports of death in as little as 30 minutes have been recorded for this species.
 
Mboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumu
mkuu kuna kutabu nilisoma ndio maana nasema hivyo kuhusu miraba ya kichwa na morphology ya tumbo zao ndio INA determine kiwango cha sumu Ila sikuona mwandishi kazungumizia macho hata kuna Python wanakuwa na macho kama uliosema wewe Ila ni nonvenomous
 
Mkuu kwani ukikutana na nyoka utapata huo muda wa kuangalia mboni.

Ni mojawapo ya viumbe hatari sana kwa binadamu ukiona nyoka lazima kwanza utaenda mbali kabla ya kuchukua maamuzi mengine
..Ni kweli huo muda hautopatikana lakini hapa tunapeana viashiria vya nyoka yupi mwenye sumu hatarishi kwa kumtambua
 
paka pia wana sumu kali? Mamba ana sumu kali? Ukali wa sumu hutegemea diet anayokula mfano nyoka anayefugwa na aliye msituni sumu zao huwa tofauti, pia aina ya nyoka ndiyo unatakiwa uwe nayo attention na siyo mboni.
..Hatubishani fanya Utafiti juu ya hicho nilichokiandika....
 
Back
Top Bottom