Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Karibu na ziwa Manyara wapo, baadhi nimewahi kuwaona.
Kweli kabisa hawa ni hatari sanaNyoka yeyote mwenye kichwa mfano wa jeneza na kiwe kama hakina mabondebonde ana sumu hatari sana
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .
Mbona chatu ana kichwa kama geneza ila hana sumu mkuu?Nyoka yeyote mwenye kichwa mfano wa jeneza na kiwe kama hakina mabondebonde ana sumu hatari sana
Swila ndio Cobra.Yule anayevimbisha shingo kutema mateSwila yupoje?
Soma issue ya huyu jamaa ndo maana nikasema inawezekana. Tim Friede inflicts himself with bites in an attempt to develop vaccines | Daily Mail OnlineTim Friede inflicts himself with bites in an attempt to develop vaccines | Daily Mail OnlineBlack mamba huwezi kupona
Swali zuri snMbona chatu ana kichwa kama geneza ila hana sumu mkuu?
Hawana urafiki na mtuNACHUKIA NYOKAA
ustaarabu kwenye mdudu anaitwa nyoka,umeukuta wapi???Basi rangi zao zilitaka nishawish niwaone wastatabu kumbeeeee....
Mchizi we ni chiziSwila ndio Cobra.Yule anayevimbisha shingo kutema mate
Wewe bwege google ni bure,andika cobra in swahili halafu njoo na jibu.swila ndiyo cobra .na wala sijasema nyoka wengine hawatemi mate,ila cobra huvimbisha shingo akitema mateMchizi we ni chizi
Ulichosema si kweli nyoka wengi wanao uwezo kutema mate, swila si cobra.