Hamna kiumbe yeyote wa MAULANA ambaye ni mbaya. ....ndiyo maana MWENYE ENZI MUNGU kila akimaliza uumbaji wake anatamka NI VYEMA. Ni sisi wenyewe lazima tutamke mambo mema kwenye maisha yetu. ..hapo TUTAKULA MEMA YA UNIVERSE. ..nakutakia siku njemaYap japo imezoeleka nyoka ni viumbe wabaya ila kuna nyoka wameumbwa kwa namna ya kupendeza sana na baadi hawana sumu kabisa
Kiroho wana asili ya ushetaniustaarabu kwenye mdudu anaitwa nyoka,umeukuta wapi???
MKUU!!,tangu lini nyoka wakawa wastaarabu??.Basi rangi zao zilitaka nishawish niwaone wastatabu kumbeeeee....
Hilo joka ni hatari tena joka kuu apendagi michezo na binadamu ukimchezea tu anakudhuru ata krismasi na mwaka mpya utaiona chungu kwakoHuyo hatari..hivi punde kamng´ata mtafiti wa zika,yupo hoi
Duhuuu !Hao nyoka wenye vichwa vyekundu huwa wanawika kama jogoo
Usingemsogelea ukuwa na smart phone ? Ungempiga picha utarii huo .siku nyingine ukiona jambo la ajabu kwako piga picha kwa akiba alafu chunguzaBinafsi nimewahi kuona nyoka miaka ya 1996 kwenye milima ya kirumba Mwanza alikuwa amekaa juu ya mwamba Mkubwa anaota jua...rangi zake zilikuwa nyekundu, njano na blueblack kwa mbaaali...kichwani alikuwa mix ya red na pure njano....nilishikwa na butwaa la ajabu sana sababu nilikuwa sijawahi kuona nyoka wa aina ile kwa alikuwa anameremeta style flani hivi...kwa ujinga ule nikataka kumsogelea nimuone kwa karibu alikopotelea hata sikumbuki
Kwa mfano mkoa gani kaka
au kwa namna nyingine kuwa nyoka wenye macho yenye umbo kama karanga ni nyoka wenye sumu kaliNyoka yeyote mwenye kichwa mfano wa jeneza na kiwe kama hakina mabondebonde ana sumu hatari sana
Naamini watakuwepo Tz,kuna kila kitu, we fikiria mpaka CCM iko Tz nin nyoka bhana
Hili jina lako huwa linanipa mawazoWewe Lwiva!! Acha basi mnyalukolo.
Tabora kuna kila aina ya nyoka
Nadhani mmoja ni cobra ambaye akimdunga mtu anakufa ndani ya masaa machache. Mwingine ni aina ya kifutu (puff adder) ambaye naye sumy yake ni mbaya sana. Huyo akikuuma nyama mwilini zinaoza mpaka unakufa