Nenda pale Elite Computes ya Sea Cliff, kanunue hii kitu MacBook Pro Retina Displays 2013 edition, inatumia OS X Mavericks powered by Intels Haswell processors, iko juu zaidi ya corei7! with 12 hrs battery life!Storage ni 1TB RAM ni 16 GB inatumia DDR 2 za 8GB each!.
Ram ni 16.GB inatumia DDR 2 za 8.GB each. Storage ni 1TB!.
P.
Kitu gateway try it
Hata bei sijathubutu kuulizia, maana sio level yangu, bei za pale sio hizi za madafu!, ni doleri!.Bei gani mkuu?
Nenda pale Elite Computes ya Sea Cliff, kanunue hii kitu MacBook Pro Retina Displays 2013 edition, inatumia OS X Mavericks powered by Intels Haswell processors, iko juu zaidi ya corei7! with 12 hrs battery life!Storage ni 1TB RAM ni 16 GB inatumia DDR 2 za 8GB each!.
Ram ni 16.GB inatumia DDR 2 za 8.GB each. Storage ni 1TB!.
P.
Pasco unavunja mbavu zangu, yaani unamshauri mwanajf aende kwenye ilo duka wakati hata bei ujaulizia na wewe mwenyewe unahisi bei zao ziko juu sanaHata bei sijathubutu kuulizia, maana sio level yangu, bei za pale sio hizi za madafu!, ni doleri!.
Kwa kawaida huwa ni doleri elfu 2-3, hivyo hii kitu mupiya, itakuwa kwenye 4,000!.
P.
Mkuu Masele Joe, kwa vile umeuliza bora kati ya hizo, very unfortunately bora kabisa kwenye list yako haipo!. Laptop inayoongoza kwa uimara ni Mac Book Pro, case yake ni aluminium dicast!, iliyofunikwa kwa rubber, hata ikidondoka chini puu!, haivunjiki, haiharibiki, haitikisiki!. Mac inafuatiwa na Sony Viao na baada ya hapo ndipo zinafuatia Lenovo, Dell, Toshiba na Compaq, HP ni vimeo!.
Tembelea workshops za computes, utashuhudia idadi ya vimeo!. Mimi japo natambua the best ni mac,
hilo janga na mie limenikuta achen hp iitwe hp.yangu ipo imelala kwenye bag haina kazi tena nawaza niibukie ipi
Bora tujiweke mwangani, wengi tunanunua makampuni na Trademarks kwa bei za ajabu, Ukweli ni kwamba hizo Dell, Acer, Toshiba Na wengineo, Wao wanafanya assembling tu. Lakin motherbods, CPUs and HDD zinatengenezwa na Third Part Companies ambazo almost zipo China. Ndio maana siku hizi ukinunua Pc Yoyote, icheki nyuma chini ya seria number, utakuta MADE IN CHINA, na hata ukiifungua ndani hiyo mashine hutokuta label ya acer, toshiba, dell wala samsung. Utakuta kila kifaa kina mmiliki wake tofauti.
Ila Unique ni Mac (Apple) peke yake coz yeye anatengeneza karibu kila kitu mwenyewe kwa design aitakayo, ndio maana nashauri sana mtu kupata Mac japo ni bei ghali. Mimi natumia Acer Aspire One D255e (min) toka 2010 na haijawah nizingua chochote,
Ushauri.
Nunua Mac kama una bajeti ya kutosha, au nunua yoyote kwa unafuu ila tambua una jukumu la kuitunza sana maana hazina valuable guarantee kwa nchi nyingi za Africa.
Nenda pale Elite Computes ya Sea Cliff, kanunue hii kitu MacBook Pro Retina Displays 2013 edition, inatumia OS X Mavericks powered by Intels Haswell processors, iko juu zaidi ya corei7! with 12 hrs battery life!Storage ni 1TB RAM ni 16 GB inatumia DDR 2 za 8GB each!.
Ram ni 16.GB inatumia DDR 2 za 8.GB each. Storage ni 1TB!.
P.
'Mac ni unique'! 'Anatengeneza karibu kilakitu mwenyewe' you say. Graphics cards za mac computers ni ATI Radeon na nVidia(like everyone else), pia anachukua Processors made by Intel and also hizi new ports zake (thunderbolt they call em) ni technology ya Intel pia kuna other stuff anapata from Silicon Valley(might have to Google what exactly). Hakuna uniqueness yeyote kwa hawa jamaa sema tu wana Marketing strategies nzuri na wanajua ili kushika watu just make it look good(then glorify it through the media). Kuna this funny video on YouTube called "the dark side of the iPhone 5S Lines" jamaa anpita anawauliza watu waliokaa kwenye mistari wakisubili iphone5S kwa hadi week nzima kwenye line kula na Kulala hapo hapo anawauliza 'Why' wenyewe wanakubali kuwa 'its because they are idi0ts'. Apple users ni kama wameshikwa na mind control devices, hakuna lolote kwenye products zao but show off. Na wanavyo m Praise Jobs as if he invented anything!
Pasco na wanaJAMIIFORUMS wengine naomba mnielekeze ni maduka gani kwa hapa Dar naweza pata Laptop nzuri yenye Specifications nzuri. Nina HP G60-445DX, Duo Processor 2.2GHz, RAM 4GB, HdD 320GB ila nimeshaichoka, nataka kubadilisha.
Nikipata Intel Core i7 2.8GHz, RAM ianzie 8GB, HDD ianzie 750GB na screen yake iwe na ukubwa wa kuanzia 15"
Ukisimama kiupinzani zaidi ndipo waweza viona vioja hivyo visivyo hata na msingi katika suala zima la laptop bora, tusimame zaidi katika uhalisia na tuache umbea wa media,
nimesema Mac wanatengeneza KARIBU kila kitu wenyewe nikiwa na maana kwamba ukichukua manufacturers wengine wanakuwa na almost kila kitu sawa, tofauti inakuwa huyu kaweka aluminium case na mwingine plastic, LAKINI NDANI KILA KITU KINAFANANA,
na kuhusu watu kupanga foleni hiyo inajulikana wazi kwamba Apple hutoa simu zao zikiwa Branded kwa kampuni moja ya simu na huyo ndo anakuwa main supplier, mfano nokia atengeneze simu nzuri halafu ipatikane Vodacom tu, ni lazima kutakuwa na foleni Vodacom Deports, na sio IDIOTISM kama unavyodai, tatizo watanzania tunaamini kila kinachoonekana kwa media (hasa youtube na fb kama sio twitter) bila kutumia common sense kuzichuja na kutambua ukweli upo wapi,
MY TAKE
Tukiacha unafiki, Mac ndio kampuni pekee yenye laptops bora na za kudumu, hawa wengine wanafuata na wanafanana sana
Makampuni yote ya computer yanachofanya ni assembly tu.kama ilivyo katika simu.Naona umekwaa janga called MEDIA, you believe everything it says. Unaweza nijibu haya mastwali ndugu, kwanini agencies kubwa like NASA, Banks and stuff hawatumii MACs instead wana PCs( particularly DELL machines)? Kwanini watu wengi wenye macs most ni Professional Artists? And finally naona umekomaa mac wanatengeneza karibu kila kitu wenyewe, hebu niambie wanatengeneza hardware zipi if vital processor na video cards wanaletewa? Acha kufatisha mkumbo, i've used a Mac computer na hakuna speciality yeyote, tena usiombe device zao zipate tatizo. Utajuta. MAC na Alienware uchukue mac, hautakua fresh(unless unataka kuonesha kuwa una apple comp just like all apple device owners)!!