Masele Joe
Member
- Sep 8, 2013
- 45
- 4
Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
Hii hapa ni bomba mbaya
Napita tu.....!!!
Lenovo iko excellent
DELL ndio kiboko ninayo ya kwangu ina miaka minne ila ukiichek kama mpya vile!
Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
Dell ni majanga tu..nimeapa siji kununua tena. Im sure uliyonayo lazima imekufa betri na cd/dvd haisomi!!
Mkuu Masele Joe, kwa vile umeuliza bora kati ya hizo, very unfortunately bora kabisa kwenye list yako haipo!. Laptop inayoongoza kwa uimara ni Mac Book Pro, case yake ni aluminium dicast!, iliyofunikwa kwa rubber, hata ikidondoka chini puu!, haivunjiki, haiharibiki, haitikisiki!. Mac inafuatiwa na Sony Viao na baada ya hapo ndipo zinafuatia Lenovo, Dell, Toshiba na Compaq, HP ni vimeo!.Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
Pasco na wanaJAMIIFORUMS wengine naomba mnielekeze ni maduka gani kwa hapa Dar naweza pata Laptop nzuri yenye Specifications nzuri. Nina HP G60-445DX, Duo Processor 2.2GHz, RAM 4GB, HdD 320GB ila nimeshaichoka, nataka kubadilisha.Mkuu Masele Joe, kwa vile umeuliza bora kati ya hizo, very unfortunately bora kabisa kwenye list yako haipo!. Laptop inayoongoza kwa uimara ni Mac Book Pro, case yake ni aluminium trisilicate!........
Dell za zamani yan we ingia 2 kitaa, katafute Dell latitude, hz nyingne ni Pressure tu!
Nenda pale Elite Computes ya Sea Cliff, kanunue hii kitu MacBook Pro Retina Display's 2013 edition, inatumia OS X Mavericks powered by Intel's Haswell processors, iko juu zaidi ya corei7! with 12 hrs battery life!Storage ni 1TB RAM ni 16 GB inatumia DDR 2 za 8GB each!.Pasco na wanaJAMIIFORUMS wengine naomba mnielekeze ni maduka gani kwa hapa Dar naweza pata Laptop nzuri yenye Specifications nzuri. Nina HP G60-445DX, Duo Processor 2.2GHz, RAM 4GB, HdD 320GB ila nimeshaichoka, nataka kubadilisha.
Nikipata Intel Core i7 2.8GHz, RAM ianzie 8GB, HDD ianzie 750GB na screen yake iwe na ukubwa wa kuanzia 15"
Nenda pale Elite Computes ya Sea Cliff, kanunue hii kitu MacBook Pro Retina Displays 2013 edition, inatumia OS X Mavericks powered by Intels Haswell processors, iko juu zaidi ya corei7! with 12 hrs battery life!Storage ni 1TB RAM ni 16 GB inatumia DDR 2 za 8GB each!.Pasco na wanaJAMIIFORUMS wengine naomba mnielekeze ni maduka gani kwa hapa Dar naweza pata Laptop nzuri yenye Specifications nzuri. Nina HP G60-445DX, Duo Processor 2.2GHz, RAM 4GB, HdD 320GB ila nimeshaichoka, nataka kubadilisha.
Nikipata Intel Core i7 2.8GHz, RAM ianzie 8GB, HDD ianzie 750GB na screen yake iwe na ukubwa wa kuanzia 15"