Kwasababu nina akiliUmejuaje kama ana uwezo mdogo kiongozi?🤔
DahHizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru