Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Yaliyonikuta leo mhhh sitaki yanikute tenaMbona unaongea kihuruma hivyo my wii![]()
Hebu njoo tudowee pilau kwanza
Yaliyonikuta leo mhhh sitaki yanikute tenaMbona unaongea kihuruma hivyo my wii![]()
Hebu njoo tudowee pilau kwanza
Ondoa shaka shemUsinigombanishe na Nyani wako please

Wewe.....unataka kudundwa eehTatizo pilipili kichaa zinamuharibu huyu... Akila tu anacharuka![]()
Mie simoKwani uongo sasa![]()

Toka lini mie nikawa shem wako au ndio unataka kufanya yale mambo ya manfongo?Ondoa shaka shem![]()
Hainaga ushemeji shem...Toka lini mie nikawa shem wako au ndio unataka kufanya yale mambo ya manfongo?

Mie wewe ni kaka yangu hakuna cha ushemeji hapaHainaga ushemeji shem...![]()
Yepi tena hayo jamani?Yaliyonikuta leo mhhh sitaki yanikute tena
Jaribu uone....Wewe.....unataka kudundwa eeh
Utanifanya nini? Utaniparua na kucha zako? Au utanichangia na K?Jaribu uone....
Sio nitakuparua tu.... Nitakung'ata hiyo shingo mpaka ukomeUtanifanya nini? Utaniparua na kucha zako? Au utanichangia na K?
Mi najiremba, naweka na wanja wa "paka mapepe "kwa mume hujirembi
Muulize mumeoYepi tena hayo jamani?
![]()
![]()
picha za uchoraji wanja
![]()