Aina 8 za wanawake hatari

Aina 8 za wanawake hatari

AL MAJINUN- huyu upenda maisha ya juu sana hata kama anaishi Mbagala Kwa Nyoka, atataka aonekane kama wa Masaki. Mwanamke wa aina hii pia huwa hatosheki tendo la ndoa haraka, ukimuoa lazima uwe Shabaabi vinginevyo utaikimbia nyumba.
 
Wangu ni namba 1 kosa kidogo talaka ukimuliza kitu nataka talaka
 
Lakini kwa nini hata uyaingilie?

Si uwaache tu wenyewe watajuana mbele kwa mbele....au nakosea?

[emoji323] [emoji323] [emoji323]
Nisameheni bure sitaingilia tena
This I promise you wapendwa wangu...[emoji124]
 
Back
Top Bottom