Aina 8 za wanawake hatari

Aina 8 za wanawake hatari

Mtoa mada rekebisha heading.. Isomeke. Aina 8 za wanawake na tabia zao. Ingawa umekopi na kupaste ila nakusaidia source ni : MAWAIDHA YA NURDIN KISHI. Ntaataxhi next tyme mkihitaji.. Karibun
Kwani sheikh Nurdin Kishk ndiyo source ya elimu pekee sheikh? Hebu acha uvivu wa kusoma. Ndo maana tunaambiwa tujitahidi kusoma
 
Sasa mbona hakuna mwema hata mmoja? Yaweza kuwa kweli una mapepo.
 
1474982830256.jpg
choose and pick grades
 
Mimi huyo namba 6

Naanzaje kujipamba akati niko nawewe nyumbani?
Ata tukilala utataka nijipambe. Makeup ni unconfortable haswa kama hamna anaeona kua umejipamba.
Mtu hapambi nje humpambia mume ndani
 
Back
Top Bottom