Aina 8 za wanawake hatari

Aina 8 za wanawake hatari

9. AL LARA1 Huyu Bila Ya Kuwa Na Atleast Milioni 50 Ktk Akaunti Ya Benki,Hata Usimuombe Namba Ya Simu, She Will Milk The Shit Out Of Your Wallet.

10. AL NIFA Yeye Mjanja Mjanja. Mpenda Ubuyu.

11. AL MISS NATAFUTA. Jina Linareflect Huyu. Ana Namba 1000+ Za Mishababi Anachat Nayo So Kama Una Wivu Utapata Ulcers

12. ALMISS CHAGGA. Huyu Kama Una Kibamia Na Unakojoa Kama Bata Usijisumbue. Uwe Na Hoggo La Maana La Sivyo Utafunguliwa Thread/Uzi Humu.
Mungu shahidi sipo whatsup wala sijaandika sms yoyote kuchat ni mejibu pm tatu humu basi na kucomment jf .
kama kuna mtu nachat nae humu aseme
 
mi namtafuta mwanamke mwenye tabia ya ANNAASHIZA, huyu huwa hamtii mumewe
 
9. AL LARA1 Huyu Bila Ya Kuwa Na Atleast Milioni 50 Ktk Akaunti Ya Benki,Hata Usimuombe Namba Ya Simu, She Will Milk The Shit Out Of Your Wallet.

10. AL NIFA Yeye Mjanja Mjanja. Mpenda Ubuyu.

11. AL MISS NATAFUTA. Jina Linareflect Huyu. Ana Namba 1000+ Za Mishababi Anachat Nayo So Kama Una Wivu Utapata Ulcers

12. ALMISS CHAGGA. Huyu Kama Una Kibamia Na Unakojoa Kama Bata Usijisumbue. Uwe Na Hoggo La Maana La Sivyo Utafunguliwa Thread/Uzi Humu.
ndo nimejua umepata wapi hiz type. wewe Mkuu Juan ni hatari. hakuna Al Jje's kweli? hahahahhaahhaa
 
ndo nimejua umepata wapi hiz type. wewe Mkuu Juan ni hatari. hakuna Al Jje's kweli? hahahahhaahhaa
AL JJE's Naendelea Kumsoma Kwa Kupitia Threads Na Posts Zake Ila Bado Hamna Literature Review Ya Kutosha So It Will Take Time.
 
AL JJE's Naendelea Kumsoma Kwa Kupitia Threads Na Posts Zake Ila Bado Hamna Literature Review Ya Kutosha So It Will Take Time.
ok waiting and have enough patience ya kusubiri
 
AINA 8 ZA WANAWAKE HATARI

1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia mbaya mwanamke kutaka talaka ovyo.

2 ALHANNANA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kulinganisha maisha yako na ya mwanaume mwengine kama aliwahi kuolewa kabla yako au atalinganisha na maisha ya nyumbani kwao kama wa mwanzo alikuwa vizuri basi wewe utakuwa jalala la lawama huyu hafai maana siku zote utakuwa unajiona wa nyuma tu.

3 ALMANNANA - Huyu ni msimbulifu kila jambo mlilofanya pamoja yeye atakusimbulia na kudai kila kitu kakufundisha yeye hata akikupa zawadi ataisimbulia kwa watu hafai maana watu watakuona huna ujualo mbele yake

4 ANNAASHIZA - Huyu yeye hamtii mumewe hata kidogo na ukimuamrisha jambo haoni tabu kujibu sitaki hata mbele za watu na hupenda kuwa juu zaidi ya wanaume ni mkaidi sana.

5 AL AAHIRA - Huyu hatosheki na mumewe hata kama utajitahid kumridhisha bado ataenda nje tu hata ukijiweza. Huyu hakawii kuleta mimba feki.

6 AL BARRAAKAH - Mwenye kumemetuka, huyu hupenda kujipamba akiwa anakwenda kazini, sokoni au shughulini ila nyumbani hajipambi ng' oo huyu analeta ugonjwa wa moyo.

7 ASHADDAAQA - fedhuli anaongea sna huyu, wewe una neno moja yeye anakumi ni hatari sana na ishara yake akiongea hupenda kubinuabinua midomo na huongea kwa kunyari mara anakudhalilisha hafai huyu.

8 AL HADDAAQA - Huyu mara nyingi kila anachokiona yeye anakitaka tu anapenda maisha ya kifakhari kama huna uwezo atakutoa kibiongo.
Allaah sw waepushie wanawake waumini wasiwe kati ya makundi haya.
Mtoa mada rekebisha heading.. Isomeke. Aina 8 za wanawake na tabia zao. Ingawa umekopi na kupaste ila nakusaidia source ni : MAWAIDHA YA NURDIN KISHI. Ntaataxhi next tyme mkihitaji.. Karibun
 
AL JJE's Naendelea Kumsoma Kwa Kupitia Threads Na Posts Zake Ila Bado Hamna Literature Review Ya Kutosha So It Will Take Time.
ila ulivyo very creative nimefurah sana. imenichukua muda kugundua.

big up mkuu
 
Back
Top Bottom