Kuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba mamillioni ya misaada ya AIDS.
Tujikumbushe.
Unisamehe bila faini, ndio natoka Angaza sasa hivi hadi raha yaani acha kabisaYaaini babu umeshindwa kabisa kuniita na mm kwenye huu uzi
haya bwana
unisamehe bila faini, ndio natoka angaza sasa hivi hadi raha yaani acha kabisa
Sasa babu mbona hukuniambia twende sote nami nikajicheki afya yangu
nakupiga faini muda si mrefu lasivyo nipe nami gawio langu la tegeta -e pls?
nitumie account yako ya mkombozi bank stanbic faster
Hakika nitakuja rock city kukufuta hayo machozi...ujue mie sipendi unavyolia?
Anaevumilia hula zilizoiva, kuwa mvumiliviu...nitayafuta hayo machozi yako, hadi utashangaa coz hutalia tena..!Lini mkuu, kila siku unasema utakuja mbona huji??
hahahahaaa hujataja Brach name please, fasterLady0000567432jf890086 hiyo hapo babu umeonaeee?
hahahahaaa hujataja Brach name please, faster
MIMI MSIMAMO WANGU NI WA TOFAUTI
UKIMWI UMETENGENEZWA MAKUSUDI ILI KUPUNGUZA WORLD POPULATION BY 75%.
(NA BADO VIRUSI HIVI VINASAMBAZWA KWA NJIA MBALIMBALI).....HATA EBOLA.
REF:
Dr.Patrick Dixon-The truth about AIDS.Page.34
(UKITAKA KUMFICHA MSWAHILI KITU--KITIE KITABUNI)
Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani?
My Message to you is this...
A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of carelessness can shut down many dreamz!! It is AIDS day, play smart and safe. Flee from HIV/AIDS.
Thanks
Elli a.k.a Mumangu
MIMI MSIMAMO WANGU NI WA TOFAUTI
UKIMWI UMETENGENEZWA MAKUSUDI ILI KUPUNGUZA WORLD POPULATION BY 75%.
(NA BADO VIRUSI HIVI VINASAMBAZWA KWA NJIA MBALIMBALI).....HATA EBOLA.
REF:
Dr.Patrick Dixon-The truth about AIDS.Page.34
(UKITAKA KUMFICHA MSWAHILI KITU--KITIE KITABUNI)
Ukimwi hauna tiba kwa wasomi wa dunia hii !
Wamwaminio halisi YEHOVA; wanapona kwa MAOMBEZI,katika jina la Yesu Kristo.
Hakika nitakuja rock city kukufuta hayo machozi...ujue mie sipendi unavyolia?