Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Kamfungulieni lissu mashitaka
 
Ile saini haiwezi kuwa ya Amri Abeid Karume, ila kuna mtu kasaini kwa niaba yake. Niliwahi kusoma mahali kuwa Karume 'hakusoma; lkn ile saini iloyopo kwenye hati iliyoonyeshwa na Balozi Sefue inaonekana ni ya msomi wa hali ya juu kuliko hata Nyerere wakati ule.

Ile hati itazidisha utata zaidi badala ya kuundoa kwa maswali yafuatayo(
1. Kwa nini walikuwa wanadao mara iko UN?
2. Kwa nini awali waliwapa wajumbe wa Kamati hati nyingine ambayo haifanani na hii aliyeionyesha Sefue leo? Je! Kuna hati ngapi za Muungano?

-------- huamini kila neno, lkn mwenye akili huhoji kila neno.

Pumba tupu
 
Ni vizuri kwa wewe uliyefika darasa la 14 ukanielimisha mimi ambaye sijafika darasa la 3 unaonaje?

Atakuelimisha nini, ilhali hajui kitu anasubiri mpaka Lisu aje kutoa historia ya Tanganyika bungeni ndo apate cha kuongea.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Mr ZERO!
Hoja ya tundu lissu iko pale pale,kwanza hakukua na hati ya muungano, pili kama hati ipo sio halali, yaani haihalalishi muungano,mchakato wa kuitengeneza hati hiyo haukua wa kisheria,haukuridhiwa na pande zote mbili na haukufuata utaratibu wa kisheria hati kusainiwa

hoja ya lissu ni ukiukwaji wa sheria hati kutengeneza hati ya muungano. Haya mambo ni ya kisheria,kama huelewi sheria utabaki unabwabwaja tu.

Kuzaa na mke wa mtu haikupi haki ya kudai mtoto,uhusiano wenu ulikua haramu, muungano huu ni HARAMU.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Siasa za majitaka!
 
Hati ya Muungano inaonesha nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar. Lissu hapo ana point nzuri sana. Jee, Tanganyika iko wapi?

Mimi bado Nina wasiwasi na inayodaiwa ni hati hilisi ya muungano kwani mwanzoni walisema kuwa hati hiyo haipo na kuwa hati hiyo iko UN. kwa shinikizo Na bila haya baada ya kukabwa koo ndipo imeamua kuacha mazingaombwe yake. oneni aibu nyie watu
 
Hivi hi Tanganyika ambayo watu wanaidai irudi nani anaweza kutuambia uhalali wake, makubaliano ya kuifanya inchi hii itwe Tanganyika yalifanyika wapi na nani walikuwa washiriki wake? je wananchi walihusishwa katika mchakato wa kupata jina Tanganyika? kwa Zanzibar labda kwa sababu yenyewe imepata uhuru wake kwa mapinduzi lakini hi Tanganyika nani anaweza kutusaidia mkataba wa kuifanya inchi iitwe Tanganyika ulifanyika wapi?

Hoja mfu kama hii ilitamkwa bungeni jana,na wewe kwa uelewa wako kiduchu umeibaka na kuileta hapa

nikusaidie kwa kukuuliza swali, hoja ya nani alishrikishwa kuiunda tanganyika na hoja ya muungano kuna uhusiano wowote?.
 
Mimi bado Nina wasiwasi na inayodaiwa ni hati hilisi ya muungano kwani mwanzoni walisema kuwa hati hiyo haipo na kuwa hati hiyo iko UN. kwa shinikizo Na bila haya baada ya kukabwa koo ndipo imeamua kuacha mazingaombwe yake. oneni aibu nyie watu

hoja ya lissu iko pale pale,hati hiyo ni batili,mchakato uliopelekea kusainiwa hati hiyo ni batili,haukufuata utaratibu uliopaswa kufuatwa kisheria. Wanasheria wanajua vizuri,ikiwa utaratibu umepindishwa ili kufanikisha jambo flan,mwisho wa siku kisheria jambo hilo ni batili. Muungano huu ni HARAMU. Haukulidhiwa na pande mbili.
 
Hati ilihitajika mapema sana na kamati mbalimbali haikupelekkwa; kwa nini? au walikua wanaichakachua? iwekwe wazi kwanza tuone uhalali wake.
 
Wanafiki bwana huwa hawakosi neno. Mlitaka Hati ya Muunga imepatikana sasa mnazua mengine. Msipokuwa makini mtahoji hata mimba zenu kwa mama zenu kama zilikuwa halali. M.A.T.A.K.O Bar huwa ipo Arusha nadhani ndiyo sehemu mwaka kwenu kukaa

Mliozoe vya kunyonga kamwe vya kuchinja hamtoweza....

Miaka 50 ya uongo sasa basii....

Moto ndo umeanza kuwaka....
 
Misimamo ya vyama inatia upofu, laiti kama misimamo ya vyama isinge kuwepo, basi kusingelikuwa na mambo yote haya ya kutaka kuumbuana.

Tuache misimamo ya vyama na maslahi binafsi.
 
Wassira kamwaibisha Lissu, amemuonyesha dola ilivyo, Hati za Muungano sio karatasi za kufungia Vitumbua.
 
Sasa wewe unachekesha yaani unataka Tundu Lisu akuambie hati ni halali ndio ukubali? Sahihi ya Nyerere na Karume unazijua mpaka uhoji sio halali???

We mwenyewe unapata uhakika gani kuwa hiyo hati ni ya halali au unashangilia tu uwasilishwaji wake??,na kama imechakachuliwa na maccm wenzako acha ubwege wewe...
 
Aliuliza hati ipo Kama ipo ni halali,UN waliitaka waliipeleka maana ndipo tunapoelekea huko maneno ya lissu kuhusu hati aliulizia maswali manne mpaka sasa kajibiwa ipo
 
Lisu alikuwa sahihi sana, alihoji uhalali wa hiyo hati kisheria, kumbuka hiyo hati haikuwa kusajiliwa UN, Haikuwahi kuonekana na serikali ya Zanzibar, hakuna kiongozi yoyote anayekiri kuiona, je ni halali? Ndio yenyewe? who knows??? Inaonyesha kuwa hiyo hati imetolewa hili kurejesha credibility ya serikali pia kutafuta ushindi dhidi ya Lissu ili aonekana kuwa kashindwa, ambayo ni intention mbaya sana kwa serikali makini!!
 
Hayo maswali atayajibu Lisu wakati akichangia hoja,labda aingie mitini

Kwani Nyerere au Karume Ndio walinunua Tanzania? Kwani sahihi zao zina kitu gani cha kufanya Muungano ni halali?

Watanzania wapige kura watakao onekana ni wengi ndo tuamini Muungano vinginevyo sahihi ya nyerere na Karume havitoshi kuhalalisha muungano.
 
Back
Top Bottom