Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

We adi leo hujuwi kutofautisha kati ya handset na sim card !
Uwezo wako wa kufikiri bado mdogo sana jipange siyo lissu tu vijana asilimia kubwa washajua kutofautisha! Siyo zama za zidum fikra za mwenyekiti na kupiga makofi
 
baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na tundu lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa tanganyika na zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

na wewe jaribu kujiuliza kabla hujaporomosha yako ya akilini....kwanini ikulu imechukua muda mrefu kutoa hatii hii ya muungano?kwanini ile ya kwanza ilikuwa ya upotoshaji?kwanini wasira aanze kusema kwanza bungeni alafu mchana ombeni aje nao press conference? Kwanini majibu ya kwanza kudai kuwa upo umoja wa mataifa wakati si kweli,kumbe upo ikulu kwanini?kwahiyo hapa kunaupotoshaji wa taarifa kwa umma,na inawezekana hiki ni kitu ambacho kinausiri mkubwa sana kwa uhalali wake.tangu mwanzo wa mjadala wajumbe kudai hati ya muungano ni halali yao pia wajumbe kudai kuwa hati ya muungano haikuwasilishwa kwa wakati na hata pale wajumbe walipo pewa hati ya mwanzo haikuwa sahihi....kwanini serikali na ikulu ilikaa kimyaa muda wote huo?
 
kuonyesha article of the union still not solution,je muungano umelidhiwa?au ilikuwa ni makubaliano ya waasisi tu?nalo ni swali.
 
Shida ya serikalo yetu ndo maana haiaminiki ni namna wanavyo shughulikia mambo. viongozi kibao inaonekana hawajawahi kuiona hiyo hati, imeleta maneno mengi na mvutano, halafu jana ndo wanakumbuka kuionyesha.

sasa Maswalimengine,

Je tuwaamin?
je itakuwahaijachezewa? japo gada la nje ni la zamani, laini uaweza kuta dani nikitu kigneabisa, kuicheleweshahuku kunatiashaka sana.
 
Je ile iloongezwa herufi 'us' kwenye sahihi ya "Julius" kwa computer haikuletwa na serikali hii hii? Tuwaaminije?
 
Ni aibu sana kwa mwanasheria kama yeye!! Japo hazijui vizuri sheria huwa anazichanganya
wewe unajua Sheria zipi bwana!!!, mchango wako ni upi kwenye Nchi hii, jitokeze uweze kupambana na Lissu Live, ndo tutajua kuwa Sheria wewe unazielewa.,
 
Hapo naona Ikulu imejikaanga kwa kukubali mapigo ya Lissu,wakumbuke Lissu hakuuliza swali moja,aliuliza maswali mengi,Ikulu imejibu kuwa hati ipo yaliyobaki pia nayo yajibiwe.
 
Je ile iloongezwa herufi 'us' kwenye sahihi ya "Julius" kwa computer haikuletwa na serikali hii hii? Tuwaaminije?
Joha si kwamba haipo ama haipo bali muda wote huo ilikuwa wapi? Na mbona saini na ile iliyochakachuliwa ni tofauti? Ilikuwa aiku zote hizo?
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

TAFAKURI: Kwa nini hati hiyo ioneshwe kwa waandishi wa habari na siyo Bungeni inakohitajika? Kuna walakini hapa. Wataalamu wa maandishi waichunguze hiyo HATI, nahisi imepikwa.
 
Mimi bado Nina wasiwasi na inayodaiwa ni hati hilisi ya muungano kwani mwanzoni walisema kuwa hati hiyo haipo na kuwa hati hiyo iko UN. kwa shinikizo Na bila haya baada ya kukabwa koo ndipo imeamua kuacha mazingaombwe yake. oneni aibu nyie watu

Nani "walisema"?
 
hiyo ndo siri-kali yetu. Kwani inaweza kufanya chochote na tukalazimishwa kukikubali.
 
Lissu alikuwa anajua kuwa hati ya muungano ipo na alikuwa akitumia lugha chokonozi ili hati hiyo itolewe hasmdharani!

Suala kubwa si kuwepo au kutokuwepo kwa hati! Suala je hati hizo ni halali?Je ni halali kuingia kwenye muungano bila ridhaa ya wananchi?Je ni halali kuifuta nchi ya Tanganyika kwa Amri ya Rais(President Decree)?
Nyerere alipata mamlaka ya kuifuta Tanganyika wapi?Maana hiyo ni mamlaka ya kikatiba!

TANGANYIKA ilikuwa ni nchi huru,na haikupaswa kufutwa kwa amri za KIDICTETA za Mwl Nyerere!!!!!!!
 
Hati imepatikana iwe fake au origh sasa tafuteni maneno mapya aibu yenu, we mnyika kama nani eti watu wasiendelee na shuhuli za kitaifa kwa ajili yako thubutu tupa kuleee maujinga na sasa mtakiona moto tu mwanzo mwisho
 
Lissu alikuwa anajua kuwa hati ya muungano ipo na
alikuwa akitumia lugha chokonozi ili hati hiyo itolewe
hasadharani!

Suala kubwa si kuwepo au kutokuwepo kwa hati! Suala
je hati hizo ni halali?Je ni halali kuingia kwenye
muungano bila ridhaa ya wananchi?Je ni halali kuifuta
nchi ya Tanganyika kwa Amri ya Rais(President Decree)?
Nyerere alipata mamlaka ya kuifuta Tanganyika wapi?
Maana hiyo ni mamlaka ya kikatiba!
TANGANYIKA ilikuwa ni nchi huru,na haikupaswa
kufutwa kwa amri za KIDICTETA za Mwl Nyerere!!!!!!!
Edit Reply Report Post
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

hapa suala sio hati tu bali ni uhalali wa mchakato uliotumika kutengeneza hati hiyo kisheria.kama vile kuridhiwa na mabunge yote mawili la zanzibar na tanganyika kuridhiwa na mabaraza ya mawaziri toka pande zote mbili zanzibar na tanganyika kabla ya kutiwa sahihi na marais wapande zote mbili.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Hiyo hati iliridhiwa na Mabunge yote mawili? Waandddisha wa habari na Wabunge wa Bunge la Katiba nani walipaswa kupewa kwa ajili ya kazi inayoendelea? Mambo yaliyoko kwenye hiyo hati ndio mambo ya muungano hadi sasa?
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Mambo haya yanapaswa kujibiwa na si kutuletea MIPASHO kwenye masuala ya kitaifa!!!

(d) Katika kitabu chake kiitwacho 50 Years of
Independence: A ConcisePolitical History of Tanzania,
kilichochapishwa Januari ya mwaka huu 2014, MzeePius
Msekwa, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM na
Katibu Mtendaji wake wa kwanzaamesema yafuatayo
kuhusu mambo yaliyofanyika baada ya Makubaliano ya
Muunganokusainiwa:
(i) Tarehe 26 Aprili, 1964, yaani Siku ya Muungano, Rais
Nyerere alitungaPresidential Decree (Amri ya Rais)
iliyoitwa The Transitional ProvisionsDecree, 1964, yaani,
Amri ya Masharti ya Mpito ya mwaka 1964,
iliyochapishwakatika Gazeti la Serikali la siku hiyo. “Amri
hiyo iliwabadilisha watuwaliokuwa watumishi wa Serikali
ya Jamhuri ya Tanganyika na kuwafanya watumishiwa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Mahakama Kuu ya
Tanganyika iligeuzwa kuwaMahakama Kuu ya Jamhuri ya
Muungano; na nembo ya taifa ya Jamhuri ya
Tanganyikailigeuzwa kuwa nembo ya taifa ya Jamhuri ya
Muungano.”
(ii) Tarehe hiyo hiyo, Rais Nyerere alitunga Amri
nyingine ya Rais iliyoitwaThe Interim Constitution
Decree, 1964, yaani, Amri ya Katiba ya Muda ya
mwaka1964. “Amri hii iliitangaza Katiba ya Tanganyika
kuwa ndiyo Katiba ya Muda yaJamhuri ya Muungano.
Kifungu cha 4 cha Amri hii ndicho kilichoipatia
Serikaliya Muungano majukumu kuhusu mambo yote ya
Muungano katika Jamhuri ya Muunganoyote na vile vile
kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano kwa upande wa
Tanganyika.”
(iii) Tarehe 15 Juni 1964 Mwalimu Nyerere alitunga
Amri nyingine tena iliyoitwaThe Transitional Provisions
(No. 2) Decree, 1964, yaani, Amri ya Masharti yaMpito
(Na. 2) ya mwaka 1964. Amri hii ilielekeza kwamba
mahali popote ambaposheria zilizopo zimetaja jina la
‘Tanganyika’ basi jina hilo lifutwe na badalayake jina la
‘Jamhuri ya Muungano’ liwekwe. Vile vile, Amri hiyo
ilielekeza,mahali popote ambapo ‘Serikali ya Tanganyika’
imetajwa, au kwenye jambo au kituchochote ambacho
kwa namna yoyote kinamilikiwa au kinahusishwa na
Serikalihiyo, basi itachukuliwa kuwa ni Serikali ya
Jamhuri ya Muungano ndiyoiliyotajwa.
(iv) Kwa maneno ya Mzee Msekwa mwenyewe:
“Tanganyika was thus decreed out ofexistence. The
cumulative effect of these legislative measures was that
thepolitical entity which was Tanganyika, was decreed
totally out of existence.That is the reason why even the
name of the geographical unit formerly known
asTanganyika, had to be changed to Tanzania Mainland.”
Tafsiri ya maneno haya nikwamba “uhai wa Tanganyika
ulitolewa kwa njia hiyo ya amri. Athari za jumla zaAmri
hizi ni kwamba eneo la kisiasa ambalo ndio ilikuwa
Tanganyika lilitolewauhai wake moja kwa moja kwa
amri. Hii ndiyo sababu hata jina la eneo lakijiografia
lililojulikana zamani kama Tanganyika ilibidi libadilishwe
na kuwaTanzania Bara.”
2. Vitendo vya kuivika Jamhuri ya Tanganyika joho la
Muungano na kuigeuza kuwandio Jamhuri ya Muungano
hakikuwa na uhalali wowote kwa mujibu wa
Makubalianoya Muungano:
(a) Aya ya (v) ya Hati ya Makubaliano ya Muungano
ilitamka wazi kwamba “sheriazilizopo za Tanganyika na za
Zanzibar zitaendelea kutiliwa nguvu katika
maeneoyao....” Kwa maana hiyo:
(i) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa mujibu
wa Makubaliano ya Muunganowala chini ya Katiba na
Sheria za Tanganyika ya kugeuza sheria zote za
Jamhuriya Tanganyika kuwa sheria za Jamhuri ya
Muungano hata kwa mambo yasiyokuwa yaMuungano;
(ii) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa
mujibu wa Makubaliano yaMuungano wala kwa mujibu
wa Katiba na Sheria za Tanganyika ya
kuwageuzawatumishi wote wa Jamhuri ya Tanganyika
kuwa watumishi wa Jamhuri ya Muunganohata kwa
mambo yasiyokuwa ya Muungano;
(iii) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa
mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa
Katiba na Sheria za Tanganyika ya kugeuza
MahakamaKuu ya Tanganyika kuwa Mahakama Kuu ya
Jamhuri ya Muungano;
(iv) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa
mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa
Katiba na Sheria za Tanganyika ya kugeuza Nembo
yaTaifa ya Jamhuri ya Tanganyika kuwa Nembo ya Taifa
ya Jamhuri ya Muungano.Nembo za Taifa, yaani ‘Bibi na
Bwana’ inayotumika hadi leo hii ni Nembo yaTaifa ya
Jamhuri ya Tanganyika!
(v) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa
mujibu wa Makubaliano ya Muunganoau kwa mujibu wa
Katiba na Sheria za Tanganyika ya kufuta matumizi ya
jina laTanganyika katika sheria zote za Jamhuri ya
Tanganyika au katika mambo au vituvyote vilivyokuwa
vinamilikiwa ama kuhusishwa na Jamhuri ya Tanganyika
hata kwamambo yasiyokuwa ya Muungano ya
Tanganyika;
(vi) Rais Nyerere hakuwa na mamlaka yoyote kwa
mujibu wa Makubaliano yaMuungano au kwa mujibu wa
Katiba na Sheria za Tanganyika ya ‘kutoa uhai wa nchiya
Tanganyika kwa njia ya Amri ya Rais’ au kwa njia
nyingine yoyote ya kisheriana kuigeuza kuwa Jamhuri ya
Muungano.
 
machadema yameishiwa hoja yamebaki kuungaunga na kushikia bango vitu vya kipuuzi

tulia dawa ikuingie wewe. Tunaungaunga tena, bila cdm ungejua hata kudai haki yako (kufahamu, maana watu wapaswa kufaham). Naona wewe ndo unaweweseka.
 
Tusipotoshe..... Lissu alisema " Hati haipo, kama ipo si halali maana haikuridhiwa na baraza la wawakilishi"

Sasa unayesema ameumbuka, ni wewe unayepotosha maneno yake au yeye aliyesema hayo!
 
Back
Top Bottom