Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Iko wapi? au imepatwa na mwezi kama Sarungi alivyosema bungeni leo?

Hivi hi Tanganyika ambayo watu wanaidai irudi nani anaweza kutuambia uhalali wake, makubaliano ya kuifanya inchi hii itwe Tanganyika yalifanyika wapi na nani walikuwa washiriki wake? je wananchi walihusishwa katika mchakato wa kupata jina Tanganyika? kwa Zanzibar labda kwa sababu yenyewe imepata uhuru wake kwa mapinduzi lakini hi Tanganyika nani anaweza kutusaidia mkataba wa kuifanya inchi iitwe Tanganyika ulifanyika wapi?
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
 
Hivi hi Tanganyika ambayo watu wanaidai irudi nani anaweza kutuambia uhalali wake, makubaliano ya kuifanya inchi hii itwe Tanganyika yalifanyika wapi na nani walikuwa washiriki wake? je wananchi walihusishwa katika mchakato wa kupata jina Tanganyika? kwa Zanzibar labda kwa sababu yenyewe imepata uhuru wake kwa mapinduzi lakini hi Tanganyika nani anaweza kutusaidia mkataba wa kuifanya inchi iitwe Tanganyika ulifanyika wapi?

C vibaya ukirudia darasa la tatu
 
Kwanini umejawa na "negative attitude"!?

Nyaraka ipo wazi, sasa wasiwasi wako wa nini?

Tuliitaka hati, sasa ipo hadharani. Leo mnakuja na mambo mengine tena. What's wrong with you guys?
Duhh kweli wewe ni PATIENT ZERO
 
Ogopa sana kuingia madarakani au kupata nafasi za kisiasa kama hisani hata mkuu akijamba unampa hongera sana boss, ccm wanadhani watatawala hii nchi milele hoja zenu ni dhaifu sana mnatoa mapovu tu, akili gani unashindwa kutofautisha kama yale ni maoni ya watanzania na si ya walioba ? Muwaseme watanzania waliopendekeza serikali 3 na si kuwasakama wajumbe mnaona raha kupiga vigeregere kama mko kwenye kitcheni party !aibu kwenu na mkuu wenu asiyejitambua,

Mbona hupingi tume zilizotangulia kuitwa kwa majina ya wenyeviti wake mf tume ya jaji Robert Kisanga, tume ya Nyalali ? Unshangaa kuitwa tume ya Warioba?
 
mtoa madaa ni muhuni na mshenzi mkubwa kibaraka wa ccm hati imetengenezwa wameenda kuwaonyesha waandishi wa habari badala ya kupeleka inapohitajika bungeni
 
Kama ujui kusoma hilo sio tatizo langu.

Jambo la kufanya ni kuwalaumu wazazi wako ambao wameshindwa kukusomesha.

Who knows, huenda hata wazazi wako hawakwenda shule so hawakuona umuhimu wa ikukupeleka shule.
Duh,umejibu ki-SISIEM kwelikweli!
 
tundu lisu asiwasumbue aluwahi kudumbukia ch......... ni kwa hiy ji ukwl akil yake wakat mwngine ndo alivy tumzoee lakin ni kwl elim yake ya kwli kabisaaa haina shaka.... sema hilo tatiz lake la kudumbukia ch....n mpk akaw fyatu kwa kipind flan ndo tatiz linalomtesa...
 
hukuelewa maelezo ya katibu mkuu kwanini wanaificha sana?

Sababu zinazotolewa hazima msingi. Tujifunze kwenye nchi za wenzetu. Vitu kama hivyo, vya Kihistoria kama hivyo, huwa vinawekwa kwenye sehemu za makumbusho. Kwetu hata kuipata inapohitajika ili watu wajiridhishe, ni tatizo!

Ni ajabu kuwa hata UN hawana pia!
 
Tukijitahidi zaidi nimegundua hata ile mikataba tata ya migodi naile 17 ya wachina tutaoneshwa tu!
 
Mi naona tukubali kuwa kuna hati kwa kuamini tu maneno ya wahusika kwa hulka na tabia zao. Lakini kusema hati zina authenticity ni vigumu. Maana nami nimefanya jaribio la kutengenza zangu nikaona kwa dk 20 nimefanikiwa by 80%. Nilichukua kijarida chenye sahihi ya Nyerere nikakitoa photo copy kwenye karatasi ya A4 ya zamani ilikwisha pata hali ya uchakavu na kuwa na rangi brownish hivi kwa ajili ya kukaa kwenye shelf muda mrefu. Kisha nikachapisha kwa typewriter maneno niliyotaka kwenye hati kisha nikaweka jina la Nyerere chini sahihi ungedhani ni Nyerere alisaini hiyo doc yangu.
 
tundu lisu asiwasumbue aluwahi kudumbukia ch......... ni kwa hiy ji ukwl akil yake wakat mwngine ndo alivy tumzoee lakin ni kwl elim yake ya kwli kabisaaa haina shaka.... sema hilo tatiz lake la kudumbukia ch....n mpk akaw fyatu kwa kipind flan ndo tatiz linalomtesa...

Hoja yako nzuri lakini mwandiko wako unafanya hoja yako iwe kama masihara vile. Jifunze kuandika vizuri mkuu.
 
Leo ukweli wa mambo mengi umeanza kudhihiri, mlizoea kusema wapinzani ni waongo, msiwaamini nk. Baada ya Lissu kuongea ukweli mchungu naona sasa mnatengeneza mpaka hati fake lakini wapi. Hata wajumbe wa ccm waliokuwa wanaleta ushabiki wa kura ya wazi sasa naona aibu inaanza kuwapata na hoja zenu humu jukwaani inaonyesha aibu na fedheha imewaingia. Na bado na mjue ukweli siku zote una nguvu. Nyinyi pigeni wapinzani, fanyeni mnalotaka ila hata baada ya miaka mingi mtajibu tu hata watoto wenu. Mngejuaje kuhusu hili la muungano ingekuwa hivi leo mpaka kuishia kufoji?
 
Duh, yaani tuipongeze ikulu kwa uchakachuaji? Kwa ugeugeu? Hakuna anayeweza kunishawishi tofauti, lissu kwa sasa anabaki kuwa mtetezi bora wa wanyonge, mtetezi bora wa wananchi wa singida , mtetezi bora wa tanganyika yetu iliyofichwa kwenye koti la muungano! Allah amlinde lissu!
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Maswali yalikuwa matatu
1. Je hati hiyo ipo?
2. Je hati hiyo ni halali? (hili ndio swali gumu kabisa. uhalali ni pamoja na waliosaini kuwa na mamlaka ya kufanya hivyo)
3. Je muungano ni halali.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Mbona kazi ndio imeanza na CCM imeingia mtego wa Lissu? Ni mara mia CCM ingebaki na msimamo kwamba hati ilipotea na awamu ya kwanza.

Lissu amesema haya leo bungeni:

Hata kama tukikubali, in aguendo, kwamba kile kilichopo kwenye Sheria za kuthibitisha Mapatano ya Muungano ndio hati yenyewe ya makubaliano ya muuungano, bado kuna hoja kubwa na ya msingi kwamba Hati hiyo haiwezi kuwa msingi wa shirikisho la jamhuri za Tanganyika na zanzibar tunalolipendekeza. Hii ni kwa sababu, katika miaka 50 tangu kusainiwa kwa Hati ya makubaliano ya muungano na kuzaliwa kwa muungano, Makubaliano hayo yamechakachuliwa na kuvujwa karibu kila mahali na kwa kipindi chote cha kuwepo kwa jamhuri ya muungano. Kabla hatujaanika uchakachuaji huu, ni muhimu tuyarejee masharti yaliyomo kwenye hiyo inayoitwa Hati ya Makubaliano ya Muungano....

Stay tuned, na pia karibu katika uzi wetu kule great thinkers unaojadili suala hili kwa undani zaidi. Uzi unaitwa "Siri ya Hati ya Muungano na Njama za Kuificha".

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ngoja ikapitishwe na bunge ndio utaona ukweli ,subiri kidogo.nina mashaka sana kwa kufishwa kwake.Mashahidi wa hati hiyo wengine wapo hai kama vile mzee Nasorro Moyo.Tutapata ukweli tu.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Kama unaweza kurudia darasa la saba, nakushauri ufanye hivyo!
 
Wanafiki bwana huwa hawakosi neno. Mlitaka Hati ya Muunga imepatikana sasa mnazua mengine. Msipokuwa makini mtahoji hata mimba zenu kwa mama zenu kama zilikuwa halali. M.A.T.A.K.O Bar huwa ipo Arusha nadhani ndiyo sehemu mwaka kwenu kukaa
 
Back
Top Bottom