Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Aibu ya mwaka yampata Lissu!

Laiti ungalikua na uelewa mdogo wa sheria ingekusaidia sana mkuu,sawa hata kama hati imeonyeshwa japo bado inaacha mashaka is it valid? If not then can be void ab initio,hence again no contract at all
 
Je wananchi waliridhia Pemba na Unguja ziungane ziwe Zanzibar?

Mambo ya Pemba na Unguja wanawahusu wazanzibari.. Nchi ziliungana ni Tanganyika na Zanzibar. Na leo katibu wa ikulu kasema pia ikulu inahifadhi hati ya uhuru wa Tanganyika, kama Tanganyika ilikufa mbona hati ya uhuru wake inahifadhiwa kwa lengo gani? Hii serikali ya CCM iache usani sasa.
 
aibu ya serikali kuendeshwa na lissu,kumbuka hiyo hati kama ni halisi au feki haijawahi kuonwa pengina na jk na mkapa na mwinyi ila lissu katufanya hadi mimi kuiona leo
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
 
Hoja muhimu kuliko zote, hata kama hati ipo, je, lipo wapi azimio la baraza la mapinduzi kuidhinisha muungano? Kama halipo zanziba hawakuridhia muungano kihalali

Rashid: Muungano ulikuwa siri ya Nyerere na Karume - Katiba - mwananchi.co.tz

kutokana na maneno ya huyu jamaa aliekuwa Katibu mkuu wa Karume zanzibar haikuridhia mungano.. na ndio maana moja katika hotuba zake Karume ameshawahi kusema "wazanzibari msitaharuki na huu mungano kwani huu mungano ni kama koti linapokubana unalivua",nafikir aliyasema hayo kwa kujua kuwa hamna maridhiano yaliyotiwa saini.....

Lakini si kutwa CCM wakaleta hati ya maridhiano kutoka zanzibar,........
 
Kama alihitaji hati ili ahoji Tanganyika iko wapi, basi nadhani upeo wake wa kufikiri ni mdogo!! Ina maana bado kuna mtu ambae hajui Tanganyika ilipo?

Iko wapi? au imepatwa na mwezi kama Sarungi alivyosema bungeni leo?
 
Tanzania bila upinzani tusingejua mbichi wala mbivu. "ukizoea kuishi kwa uongo kamwe huwezi kuja upande wa pili". Lissu i can see ur effort. Big up aliongea kwa mifano na kujiamini. Unaposema mwongo bila kuonyesha vithibiti unaonyesha ni jinsi gani huwezi kujenga hoja mkuu. Am very sorry
 
Hata hivyo kama ikulu ingekuwa makini, isingesubiri hadi maswali yame mengi kiasi hiki, inaonekana kabisa kuna utata fulani kuhusu hiyo hati. Sijawahi kuwa na wasi wasi kuhusu hilo, lakini sasa nina wasi wasi

Jamani ebu tuweni wa kweli hivi nani hapa ambaye ahifadhi documents zake mf vyeti vyake vya ngazi mbalimbali za elimu, hati za nyumba n.k, ? sasa hati kama zile ambazo ndio msingi wa uwepo wa taifa eti ziache tu hadharani, kila anayetaka apewe hi ni nchi ya wapi? ndio kusema wapinzani wakishika dola documents muhimu za Taifa hili zitakuwa rehani .
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Hahaaaa ukiwa mfuasi wa wahuni hakika na wewe utakuwa muhuni,,! Tumia akili yako isiyo changanywa na ya ccm utauona walakini katika hiyo hati feki ya ccm. Hayupo wa kumhadaa leo hii ccm mnatakiwa kulijua hilo,,msifikiri kila mtu anatoka huko wanako toka wapiga kura wenu mnao wanunulia ubwabwa na tshirt halafu wanajisahau na shida na kero zao zote wanawapa kura halafu mnapotelea kusiko julikana ,uchaguzi ukikatibia mnawapa tena ubwabwa na kanga wansahau tena kero zao mkipata mnapotea tena ,,loh ccm na wajinga dam dam. Tofautishen mazingira basi huko bungeni kuna wasomi walio bobea kwenye sheria na umakini wa hali ya juu sana,, subiri majibu ya kisomi kuhusu hiyo hati yenu batiri... Shwain.
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Usipoweka hati hapa jamvini nitajua wewe ni mhuni, mwongo, mzandiki na kiongozi wa genge la wahuni.. Mpinge Lisu with evidence
 
Lissu kidume Hati ambayo wasomi wa hali ya juu hata wapambe wa ccm kama Shivji walinyimwa kuiona Lissu kanguruma mara moja tuu serikali imegwaya.Kama siyo Lissu mimi na wewe tungeiona lini?
 
Jamani ebu tuweni wa kweli hivi nani hapa ambaye ahifadhi documents zake mf vyeti vyake vya ngazi mbalimbali za elimu, hati za nyumba n.k, ? sasa hati kama zile ambazo ndio msingi wa uwepo wa taifa eti ziache tu hadharani, kila anayetaka apewe hi ni nchi ya wapi? ndio kusema wapinzani wakishika dola documents muhimu za Taifa hili zitakuwa rehani .
Hata cheti unatembea na nakala basi sasa hata nakala ilikuwa hakuna miaka mingapi inadaiwa???.Wangetoa hata nakala basi,,huu uhuni wa kina wasira na kundi lake utafika mwisho ru, time will tell.
 
Napata picha sasa kwa nini TBC1 walizima matangazo siku ya jmosi.Ni maagizo ya ikulu
 
Lissu noma ikulu haijalala siku mbili iko bzee kutengeneza hati feki

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Sasa wewe unachekesha yaani unataka Tundu Lisu akuambie hati ni halali ndio ukubali? Sahihi ya Nyerere na Karume unazijua mpaka uhoji sio halali???

Hivi bila mawazo ya Nyerere na Karume huwezi fanya chochote? mawazo mgando haya. Uliambiwa kuwa hao ndo Mungu? Angalia zama kijana na hiyo si misahafu kwamba lazima tuendelee kuishi kama walivoweka wao.
 
Lissu kidume Hati ambayo wasomi wa hali ya juu hata wapambe wa ccm kama Shivji walinyimwa kuiona Lissu kanguruma mara moja tuu serikali imegwaya.Kama siyo Lissu mimi na wewe tungeiona lini?

Hivi ni nani amekwambia kuna mwana CCM alikuwa anataka kuona hati ya muungano!!!?

Binafsi sina haja ya hayo makaratasi ambayo yanaitwa hati.

Kubwa ambalo nipo interested nalo ni udugu, umoja, mshikamano na maridhiano yetu kama Watanzania. Hili ndio la muhimu na la msingi.
 
Mhe. Lissu size yake ni Mhe. Rais pamoja na wtumishi wote wa Ikulu....hongera sana Wakili Msomi Tundu Lissu
 
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.

Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.

Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.

Acha kuongea vitu bila kuwa na data za kutosha. Una hakika ndo hiyo? acha kuongea mambo km January makamba kwa kufikiria tu bila evidence. Mnatuchosha kusoma upuuzi wenu wengine bhana.
 
Back
Top Bottom