Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Status
Not open for further replies.
Chadema imechokwa haraka kweli. Hii ni kwa sababu ya uuwaji wao wa watz wasio na hatia
 
Mwigulu ndio baba yenu wa demokrasia, atakufundisheni mpaka mshike adabu
 
Kuambiwa muuaji ni kukosa adabu ?utakuwa na Tatizo la network ya ubongo,si bure
 
mwigulu ndio baba yenu wa demokrasia, atakufundisheni mpaka mshike adabu

kifweero najua unanjaa kali sana lakini kutuma post tatu ndani ya dakika 3 basi mnchemba atakuwa anakufanya kitu kibaya sana usipotupia
 
Huyu mwigulu LAZIMA atakuwa ni mchawi na mshirikina...

Comment yako haitofautiani na wale wapiga ramli wa kisanii ambao wanakwambia lazima mtoto utakayezaa atakuwa ni wa kiume wakati ameshaichungulia Utrasound report yako. Wewe unajua kabisa jamaa ni mchawi, halafu unakuja na utabiri, eti atakuwa!
 
Kwanza ilikuwaje Mwigulu aalike timu ya Simba ilihali yeye ni shabiki wa Yanga? Au Simba ndiyo timu cheap sana?

Viongozi wa yanga huwa wana reason sio rage anakurupuka tu, sasa mtanzania waleo utamdanganya na mpira wa bongo? kweli hakili ikishavia ningumu kuitibu.
 
Kwanza ilikuwaje Mwigulu aalike timu ya Simba ilihali yeye ni shabiki wa Yanga? Au Simba ndiyo timu cheap sana?

mkuu yanga pale safu yao ya uongozi haina njaa, na wadhamini wake wapo vizuri, mi shabiki wa simba lakini kwa ili siwa suport, pia wajue mpira ni burudani tu, ila cdm ni mkombozi wa maisha ya mtz milele.
 
Jamani mwigulu na shetani wana undugu wa damu.
 
Chadema imechokwa haraka kweli. Hii ni kwa sababu ya uuwaji wao wa watz wasio na hatia

du kweli we unahitaji msaada wa fikra, ebu fuatilia mauaji yote ripoti zake na watuhumiwa wapo wapi kwanini hazina muendelezo? je ponda nae kapigwa risasi na cdm? acha kuwa na akili za kuongozwa.
 
Kurunzi Huru

Wapo watu wengi sana kama Mwigulu ndani ya CCM ambao huwa hawaoni madhara ya kauli zao. Katika kuipeleka Simba S.C. huko Singida, Mwigulu alitarajia kwamba watu wangeacha kwenda kuwasikiliza viongozi wa CHADEMA, nia na lengo likiwa kuihujumu CHADEMA. Lakini hebu tujiulize: Aliyekuwa haswa ahujumiwe ni nani?

CHADEMA itakuwapo na itaenea. Mwigulu alitaka kuwanyima wananchi haki yao ya kushiriki kikamilifu katika shughuli za kisiasa, hususan wakati huu ambapo wananchi wanatakiwa kuendelea kutoa maoni yao katika Mabaraza ya Katiba, ili tuweze kuwa na Katiba Mpya inayoungwa na wananchi wenyewe. Mwigulu alitaka kuwanyima wananchi haki yao hiyo; katika fikra zake, yeye aliona kwamba uwepo wa Simba S.C. ungeihujumu CHADEMA. Lakini ukweli ni kwamba, waliokuwa wanahujumiwa ni wananchi. CHADEMA ilikuwa inatimiza wajibu wake, na kwa kuwa, daima, viongozi na wanachama wa CHADEMA wanamtanguliza Mungu kila wakati, dhamira ya kutimiza wajibu wao ikatimia. Gari lililowabeba Simba S.C. likaharibika njiani, likachelewa kufika, na mechi haikuanza mpaka BAADA ya mkutano huo wa Baraza la Katiba ulipomalizika!

Utukufu wa Mungu hujidhihirisha kila siku, hususan pale Shetani anapotaka kuingilia shughuli za watu wema wamchao!

Tumsifu Yesu Kristu. Milele Amina.

Yesu Nakutumainia.

Kristu Tumaini Letu!
 
Last edited by a moderator:
mkuu yanga pale safu yao ya uongozi haina njaa, na wadhamini wake wapo vizuri, mi shabiki wa simba lakini kwa ili siwa suport, pia wajue mpira ni burudani tu, ila cdm ni mkombozi wa maisha ya mtz milele.
Kuna mtu anaitwa MwanaDiwani humu kasema ule mpira uliochezwa jana pale Iramba ulikuwa ni shughuli ya uchumi na mkutano wa CHADEMA haukupaswa kusimamisha shughuli za kiuchumi. Nimeshindwa kumjibu. Maana mkutano wa CHADEMA ulikuwa ni kwaajili ya kuamua mstakabali wa taifa hili, na mpira wa simba na hiyo timu ya kijiji ulikuwa unawasaidia nini wana Iramba? Ukiwa CCM, nafikiri huwa kuna utaratibu wa kukata baadhi ya mishipa ya fahamu ili uwe unaongea vitu ambavyo ni nonsense. Wanasikitisha sana hawa wenzetu. Nafikiri kuna haja ya kumtimua kwenye uongozi Rage pia, maana anaishushia hadhi timu yetu. Yaani simba imefikia level ya kwenda kucheza na timu ya kijiji?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Nchemba ndio Strategic Planner wa CCM? Na hiyo nayo tuiite mikakati kamambe?
Kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama mbinu ya kuwabambika ugaidi makada na viongozi wa CHADEMA inaonekana kutofua dafu, angalau tu hata kwa kuitisha mechi ya simba na kiingilio bure, ili kupunguza umati wa watu ambao ungefurika kumsikiliza Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom