Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Status
Not open for further replies.
Rage na Mwigulu si wote Mbumbula tu, akili zao zinalingana kwani kama Msomali angejua thamani ya timu ya Simba asingeweza kuidhalilisha kwenda kuhujumu mawazo ya Watanzania. Lakini kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu, ndio maana walishindwa kufika kwa muda waliopangiwa na Gaidi Mwigulu na Al shabab
 
Mtakodisha sana Simba na itabidi muwalete hata Manchester kwa sababu mikutano itakuwa zaidi ya 170 (angalau 10 kila kata) kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani. Itabidi mkubali siasa za kistaraabu na za akili. Siasa za kijinga na fitina hazina nafasi katika karne ya leo. Poleni sana.

nakukubali sana Jembe,. Mwigulu ataondoka lini anatia aibu sana Singida yetu! Tumemvumilia kama vile shubiri mdomoni tunasubiri siku ya kuitema itangazwe
 
Kwanza ilikuwaje Mwigulu aalike timu ya Simba ilihali yeye ni shabiki wa Yanga? Au Simba ndiyo timu cheap sana?

Mkuu, Hata angetaka Yanga waende wangekwenda tu, si Unajua Muuza Sembe ambaye kwao ni Magogoni ana ushawishi Mkubwa sana Jangwani !!!!
 
Kwanini Mh. Mwigulu muda wake asiutumie kwa kucheka ili aongeze siku za kuishi badala ya kupanga mipango kazi isiyo na tija. Kwa mchumi kama yeye najua anajua vizuri maana ya vipaumbele. Ajielekeze katika vipaumbele badala ya kudandia shughuli za watu.
 
Mke wa Mwigulu anajisikiaje kuwa na huyo mjinga?? Naye kweli kaenda kombo..jamaa sijui likoje

Behind any failed man there is weak woman! Kwa namna Mwigulu anavyopuyanga hovyo bila mwelekeo ni dhahiri ana mke dhaifu asiye na uwezo wa kutoa ushauri sahihi. Ukimwacha mkewe, huenda mshauri wake mkuu wa mambo ya kisiasa na maisha ni Juliana Shonza. Majanga!
 
it was a gud strategy but I has failed then... I advice him to try the other mean next time..
 
Simba nao si wajinga
Ohoo, tuheshimiane jamani! haya mabo ya kuingiza politics kwenye michezo yameanza lini?mmeanza kwenye udini haikutosha, mkaja kwenye ukabila hamjaridhika sasa mmeingia kwenye michezo eh? msituweke katika wakati mgumu siye mashabiki wa (club za soka) simba na(chama cha Siasa) chadema tafadhali!na kwa angalizo linapokuja suala la timu yangu niko radhi kuipiga teke siasa kwani ukweli utabaki pale pale upenzi wa siasa ni kilicho bora kwa kipindi fulani lakini mpira hata tuvurunde vipi sihami timu nitanuna ,konda, umwa,changanyikiwa lakini malovee kwa timu yangu yatabaki palepale sanasana tutatimua viongozi /wachezaji basi!
Nahitimisha.
 
simba wameonyesha umbulula kwa kweli. Yaani hao waliocheza nao wanauwezo gani wa kuwachalenji simba...??? Yaani jina mlilolijenga hapa TZ, ndo mnaishia kucheza na hiyo timu..?? Mmejidhalilisha
Huyu jamaa ni YANGA Damu..
Imekuaje Simba wakubali ujinga huu?
 
Kwa hiyo pamoja na juhudi zote za ghiliba, kijana katepeta............ chezeya peoples

Historia haiishiwi wino.
 
Haya mawazo ni yale ya kwako au mengine umechukua ya watu ambao wanamatatizo sijaona unachoongea zaidi ya kujikanyaga na kujipinga mwenywe kweli bavicha kuna manyago ndiyo maana kila bavicha yeye ni matusi tu kumbe vichwa havina kitu.

unacheza wewe matusi mnayajua nyie?Ndio maana mnatukana sana tuu ila mnaassume wengine ndio wanatukana kumbe mnasikia echo ya matusi yenu.


Hakuna thread tangu ya Jk na kagame, Malawi, gas etc..ma CCM hawana hoja ni matusi, na kuhama , mara uzalendo, mara sijui kumchukia JK, mara udini, mara ukabila, hakuna mahalai wanaweza weka rationality ya maamuzi ya JK, au kutete hoja.Ndicho unachoongea hapa.

Kwani ni uongo si mlikuwa mnasema CDM ina inanunua watu, sijui vorba sijui nini na nani...nilichomuuliza Mkumbo ni vipi angeweza pata hela za kuhonga kupita CCM?Ingawa najua umefulia sana wewe Gamba, ndio maana unaishia tapeli watu ambao nao hawana thamani kutapeli au kupiga mzinga, kwani ukishaondoka wanaendelea na mambo yao..wewe ndie unaishia kuwa uliyejitapeli.Ni kawaida ya magamba kujiibia, kujidanganya, na kujitapelii....

Hembu kakae na kujifunza jinsi ya kujirudi badal ya kujiongezea makosa wakati wana CCM wengine wameshashtukia issue si njema tena.HUjamsiki hata Nape mwenyewe sijui hizi anachomekea tuu hayupo ktk ujinga wa mipango yako.Kwa ujumla wewe ni sadaka tayari.Na CDM watakudhalilisha hadi uthibitishie uma jinsi gani ulivyo -------- kw akiasi cha kuwa hasara kwa taifa la wastaarabu.

Wewe ni njia ya vumbi hadi akili yako,wenzio ni wa njia ya vumbi kwa historia tuu il akili zao ni global.
 
Kwa hili simba wamejidhalilisha unacheza na timu ambayo haipo hata daraja la kumi?
 
mwigulu ana matatizo ya ubongo kama huyu ndiye nauibu katibu mkuu wa ccm,mwenyekiti wake yukoje? hapa nimeona kwanini ccm ni dhaifu.Chadema kazeni kamba ni rahisi sana kuiondoa ccm hii kuliko kitu chochote
 
Mtakodisha sana Simba na itabidi muwalete hata Manchester kwa sababu mikutano itakuwa zaidi ya 170 (angalau 10 kila kata) kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani. Itabidi mkubali siasa za kistaraabu na za akili. Siasa za kijinga na fitina hazina nafasi katika karne ya leo. Poleni sana.

Kitila Mkumbo utamuua huyo gaidi kwa Pressure.

Huyo Gaidi akikusikia anatamani ardhi ipasuke aingie ajifiche huko.Vituko vyote anavyofanya anakutishia nyau wewe.Na ndiyo maana ukitoa comment moja anatumia ID zake zaidi ya kumi kukushambulia.

Ninataka afahamu kwamba wewe siyo adui yake bali ujinga wake ndiyo adui yake mwenyewe!

Kwa vituko vyake,uhuni wake na ugaidi wake ndiyo kampeni tosha ya kukupeleka Mwalimu wangu bungeni.
 
Last edited by a moderator:
dah timu bora na kubwa kama simba kdhalilishwa namna hii haifai.

bora ingekuwa yanga wavaa mavazi ya rangi ya ccm


we dhubutu,yanga ni time ya kualikwa kienyeji kama simba,yanga heshima kaka. inashikiliwa na matajiri wewe.
 
mkuu yanga pale safu yao ya uongozi haina njaa, na wadhamini wake wapo vizuri, mi shabiki wa simba lakini kwa ili siwa suport, pia wajue mpira ni burudani tu, ila cdm ni mkombozi wa maisha ya mtz milele.

Nawalaumu Simba wameonyesha Njaa ya hali ya juu sana. Ni sawa na kumwambia professor ww chuo kikuu akafanye kazi ya kuhudumia Bar sababu unamlipa mshahara mkubwa. Hapo atakua ameidhalilisha taaluma yake
 
we dhubutu,yanga ni time ya kualikwa kienyeji kama simba,yanga heshima kaka. inashikiliwa na matajiri wewe.

Yanga jana wametupa raha sana tumechapa Azam. Wakati Simba wameenda kucheza na timu ya kijiji Kiomboi
 
Simba ni waganga njaa, hata kununua viatu vya kuchezea soccer waneshindwa? Kila mtu kavaa kiatu tofauti.simba ni timu uchwara.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom