aibu TBC!

aibu TBC!

Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???

Hao tbc muda wao unaishia,ngoja wanaume waje na decoda zao tbc na startimes wao over watabaki km uhuru na mzalendo
 
,,
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wja TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???

Maneno yote citizen TV kenya,waambieni wakajifunze huko
 
itv mpango mzima
ITV nao ni fyongo kupita maelezo. Swali la kipima joto: Je, Halmashauri za miji ziliangalie tatizo la mitaro ya maji taka katikati ya maeneo ya kuuzia vyakula? Majibu: 98% Ndio, 2% Sijui!

Kuna habari za kitaifa, habari za kimataifa na habari za Afrika Mashariki. Unabaki unajiuliza, hivi Afrika Mashariki iko wapi, katikati ya taifa na mataifa?

Yani ukiangalia vyombo vyetu vya habari na mtoto mdogo pembeni anaweza akaku shutia swali kuhusu hicho unachoangalia ukabaki unatafuta lugha rahisi ya kumuelewesha mtoto kwamba hawa watu ni wahanga wa mfumo mbovu wa elimu.
 
hahahahahahahahha kwa hiyo kwakuwa mafundi mitambo hawarushwi hewani wameamua kuaharibu?

Zamani TBC na baadae RTD pia na External Service mafundi mitambo lazima warushwe hewani yaani lazima apate heshima yake...

Hata Peter Tosh alitengana na Bob Marley baada ya kuona harushwi
 
Back
Top Bottom