Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
TBC huwa sielewi inaongozwaje yaani ni local sana... hivi hakuna wa kuwafundisha kuendesha Shirika? yaani kama kwenye Taarifa za Habari ni vituko mtangazaji anaganda akisubiri fundi mitambo aweke Picha ya Tukio na likichelewa basi Mtangazaji anaunganisha habari ya mbele bila kuomba radhi... wao huchukulia poa poa tu kama Side mnyamwezi... wamejaa wahuni tu nadhani hawajabobea kwenye mambo ya live walishazoea kurecord Studio kwanza then wanaplay tu wao wanaondoka zao kwenda makwao huku wakumuacha Godiliver Rweyemamu akicheza na mitambo... siku hizi hawawarushi mafundi wao so imekuwa kukomoana tu....