aibu TBC!

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,282
Reaction score
4,556
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???
 
Ha! Hivi CCM ndio wamiliki wa TBC, asante kwa kunifahamisha.
 
siunajua tena mafisadi .ufisad umewakolea mpaka wanajifisadi wenyewe??
 

kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !
 
hahaha, dah ama kweli msemo wa Mheshimiwa the boss kuwa jf is never boring.
Na hii ni thread pia.
 

Wewe si ulikuwa unaitwa Rev. Masanilo? Iikuwaje tena Mkuu?
 
kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !

Ujuaji mwingine bana
 
I have stoped watching that sh.it,itv mpango mzima
 
especially yule anayesomaga habari za biashara kama anatangaza mpira...
 
TBC ni kmaa general anayeamini ushirikina badala ya mipango na mikakati, kumejaa siasa, unafiki, ushirikina and backwardness. Hakuna waredi pale ndio matokea yake, waone huruma watangazaji wanadhalilka sana
 
kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !

Hapa Masanilo lazma apite.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona media zetuu mabomu tu heri hata hao tbc kulikooo
 
Wewe tu acha siri ya mtungi aijue kata, ni kwamba aliepiga bajeti kachukua chake, aliefanya procurement kachukua chake pale na alieuza nae kachuakua chake sasa tegemea nini baada ya huo mlolongo wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…